Kumbe mna roho mbaya hadi wenye kwa wenyewe mie nilijuaga roho mbaya kwetu tuu wanaumePole mkuu, Kuna harusi nilihudhuria miezi 2 iliyopita, sasa MC kaita mdada aliyependeza akafungue champagne,, mara paap kanyanyuka mdada na mashauzi kama yote, alikuwa kashaanza kulewa, sasa kumbe alilowana km Ni hivi obviously alienda toilet akajiswafi na vuzi lake maji yakalowesha au
Kumbe nawe umeliona hilo yaani wanawaza sana ngono hawa wanawake wakibongo ila sasa waombe hiyo mbususu wanaigeuza kitega uchumiTatizo kubwa wanawake wa kibongo kila dakika alipo hasa mabinti, anawaza, K yangu hivi K yangu vile,, yaani mawazo hayaendi mbali,,
Wanawake wa kizungu hilo hawana
Waliona uwatendei haki, walitaka uwatongozeKitaa nilichohamia nikitoka kwangu nyumba ya tatu kuingia Barbara kubwa asubuhi wa mama wapo nje wanafanya bizness zao,week ya Kwanza yote nilikua naaamkia,Kuna siku nimeamkia bwana napiga hatua tatu mbele nasikia wanasemezana kwa sauti ya chini "huyu Kaka si mtu mzima kabisa anaamkia amkia tu " hahaha NIMEBADILI NJIA
Kuepusha hiyo kadhia weka ingiza mkanda kwenye lukus kabla hujavaa suruali.Kinyume na hapo kuruka ruks hakukwepeki.Hua napataga aibu sana nikiruka luksi ya suruali...yan hua nagundua nisharudi home kutoka mihangaikoni.
Wengine kwenye mihangaiko wanaweza kukuona na haina shida sana kama hamfahamiani,ishu ni smartphones siku hizi,unashangaa umepigwa picha bila kujua na kurushwa mtandaoniNimependa hapo mwishoni.. Wakaka kwenye mambo yetu wanatustiri sana..
Mimi mwenyewe Mwezi ulioisha nipo kwenye heka heka zangu.. nilikuwa nimevaa gauni..Kumbe kwa chini zipo imeachia ila juu haina shida.. Gauni zile za kuvaa na mkanda..
Mara ghafla sina hili wala lile nimeingia Duka moja ni Mkaka anauza.. Uzuri tulisalimiana vizuri tu.. ile naingia kugeuka akaniambia Dada hiyo gauni yako imeachia.. Kushika ilipoachia sasa.. Nilichoka.. ila Mkanda niliokuwa nimevaa ndiyo ulibana pasionekane kwa haraka..Kilichofuata ilikuwa kuangalia namna ya kuitengeneza.. Ila ile hali ilinikosesha raha nikijiuliza muda iliyoachia na watu ni wengi kiasi gani wameniona..
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho zetu mbaya hazifanyi nyie kuwa watakatifu tupo kundi moja la wadhambiKumbe mna roho mbaya hadi wenye kwa wenyewe mie nilijuaga roho mbaya kwetu tuu wanaume
Kuna siku moja nimetoka kazini mapema ,Sasa mitaa ya home kuna glocery si mbali na home ,nikasema ngoja nishtue na mbili halafu niende home ,akatokea msichana akaagiza Savannah 3 ,nikamsemesha hajibu kabisa na nyodo,na nilitaka kumwuliza mbona sijawahi kukuona huu mtaa unaishi wapi ,baadaye narudi home namkuta kumbe alikuja kumtembelea rafiki yake,aisee kuniona alikosa pozi,Ila nilijifunza kitu ,ningemjibu vibaya ndo ningeharibu zaidiRoho zetu mbaya hazifanyi nyie kuwa watakatifu tupo kundi moja la wadhambi
😂😂😂😂, Alikuja kumtembelea rafiki yake ambae ni mke wako? Eeeh lazima aliona usiku mfupikuna siku moja nimetoka kazini mapema ,Sasa mitaa ya home kuna glocery si mbali na home ,nikasema ngoja nishtue na mbili halafu niende home ,akatoe msichana akaagiza Savannah 3 ,nikamsemesha hajibu kabisa na nyodo,na nilitaka kumwuliza mbona sijawahi kukuona huu mtaa unaishi wapi ,baadaye narudi home namkuta kumbe alikuja kumtembelea rafiki yake,aisee kuniona alikosa pozi
Hatupo kundi moja bana nyie mmezidi kwa kweliRoho zetu mbaya hazifanyi nyie kuwa watakatifu tupo kundi moja la wadhambi
Yamkini tuko wote hapa kwenye dunia basi ni kundi moja,Hatupo kundi moja bana nyie mmezidi kwa kweli
Ndiyo ,Sasa na Mimi ningemshushua ningefanya kosa kubwa sana ,heri hata nilimpotezea😂😂😂😂, Alikuja kumtembelea rafiki yake ambae ni mke wako? Eeeh lazima aliona usiku mfupi
Au ungemtongoza,, wote mngepata maisha magumu kwa usiku ule😂😂😂ndiyo ,Sasa na Mimi ningemshushua ningefanya kosa kubwa sana ,heri hata nilimpotezea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Tight haibani kwani?Hahaha na hili joto niwe mkweli pichu siivai hata nikiwa naenda mahangaikoni naweka tight tu km nguo ni nyepesi sasa sijui nitainamishaje kichwa hiki siku nikipata ajali ya namna hiyo
Kero ya kyupi ni kwenye mikunjo ya paja, ukiwa na mwili kidogo, huwa inakera Sana, tofauti na tightTight haibani kwani?
Niliwahi kua kwenye mahusiano na dada mmja Sasa ikawa kila nikienda kula mbususu nakuta hajavaa kyupi...siku moja nikamuuliza kwa nn huvaagi kyupi akanambia Kama ninataka avae kyupi Basi ahamie kwangu..! Nikauliza kwa nn?Kero ya kyupi ni kwenye mikunjo ya paja, ukiwa na mwili kidogo, huwa inakera Sana, tofauti na tight