Vile mashauzi yalivyoniumbua

Amen mtumishi mwenzetu

Ubarikiwe pia mno kabisa.

Pengine amekufanyananisha na akina bia yetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii mada nilijua tu itafika comment utanigusa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ni mwaka huu mwanzoni alipita mdada tulikuwa tumesimama sehemu na washkaji kama 4 hivi tunapiga story akapita mdada huyo mrembo huyo sijui kama wengine walimuona vizuri wakakaa kimya sijui mimi nilimuona juu mpaka chini jicho likagota kwenye zipu mrembo wa watu hajafunga zipu

Nikakamuita Dada akakauka lengo langu nimwambie afunge zipu coz anapoenda ni mjini amevaa chup ya pink na zipu imeachia kabisa kila kiasi kwamba kila anaekutana naye lazima ataona

Dada akawa busy na simu yake nikasema huyu ngoja asogee hatua chache mbele nimwambie kwa sauti

Kama hatua tano mbele kulikuwa na wamama wanakuja nikwambia wewe DADA TUMEKUITA UMEKATAA ZIPU IKO WAZI HAUJAFUNGA aibu yake ilikuwa siyo Nchi hii Dada alitaka kurudi alikotoka aliruka huyo.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]
Ulikuwa unanilia timing tu au siyo![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah bahati nzuri hujaniita lile jina unaloandikaga kule selfika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nilikua nakuangalia tu nikajisemea dawa yake ipo jikoni mtoto mdogo huyu 🤣🤣

Leo dadako lazima akuchape 'kibao or two'
 

hii jamaa yangu askari ffu,yuko bank analinda mcity pale sasa amekaa karibu na ATM,akaja sister du wa haja kampita mlangoni kimya yeye huyoo kwenye ATM,kaingia ndani huko sekunde kadhaa anatoka,afande ATM hazitoi hela eeeh!!!![emoji2][emoji2]jamaa lilimtoka zima zima.wee **** nini ndio unaniona saa hizi???
dada aliondoka anatamani kukimbia.
 
Nilikua nakuangalia tu nikajisemea dawa yake ipo jikoni mtoto mdogo huyu [emoji1787][emoji1787]

Leo dadako lazima akuchape 'kibao or two'
Dah[emoji23]
Kumbe huwa unaona upupu wangu???[emoji38]
Umeniotea leo.

Nilivyoona umeanza kuwataja akina bia yetu nikawaza tu kwamba sijui kama nitasalimika.
Nikapita kimya,kumbe umenipangia leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Nasubiri shambulizi lingine kutoka kwako,
Sijui litahusu nini Mungu wangu[emoji38].

...............
Pep unataka kunigombanisha na dada yangu mzuri?
 
Reactions: Pep

nadhani hata wao walibaki wanajiuliza,huyu cabo snoop kapotelea wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Namaanisha chama cha siasa chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Okay, hata mimi sina.

In fact chama pekee ambacho mimi ni memba ni (ATP) Association of Tanzania Pastors
 
Okay, hata mimi sina.

In fact chama pekee ambacho mimi ni memba ni (ATP) Association of Tanzania Pastors
[emoji38][emoji1787]

Umenichekesha
'Eti mbogamboga kijani kibichi'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: Pep
Hapana, huwa huongea upupu mama mtumishi

Huwa unakua na hoja ambazo huwa zina make sense.

Bia yetu na wenzake wao wana shida moja tu, huwa hawakubali mawazo mbadala. Halafu hawanaga hoja ku back up hoja zao.

Hufanani nao walau hata kwa mbali.

_______________
Dadako lazima akurarue vibao kadhaa, 'najivoluntia' kusimamia hilo 🤣🤣
 
[emoji38][emoji1787]

Umenichekesha
'Eti mbogamboga kijani kibichi'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣

Hata kama unatokea green city lakini ndo ushabikie kijani kibichi kweli?
 
[emoji16][emoji38]
Mimi huyu tangu lini nikawa na hoja?
Asante baba umefanikiwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.


...............
Kumbe haunipendi eeeh!?!
Wataka nipigwe na dada jamani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Reactions: Pep
[emoji1787][emoji1787]

Hata kama unatokea green city lakini ndo ushabikie kijani kibichi kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]


Leo umeua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeniotea vibaya.
 
Reactions: Pep
[emoji16][emoji38]
Mimi huyu tangu lini nikawa na hoja?
Asante baba umefanikiwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.


...............
Kumbe haunipendi eeeh!?!
Wataka nipigwe na dada jamani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nasema ukweli, si unajua msemakweli ni mpenzi wa nani?

______

Nampenda mtumishi mwenzangu ndo maana nataka dadake amnyooshe 🤣🤣
 
Nasema ukweli, si unajua msemakweli ni mpenzi wa nani?

______

Nampenda mtumishi mwenzangu ndo maana nataka dadake amnyooshe [emoji1787][emoji1787]
Njoo basi unichape mwenyewe[emoji6]
 
Reactions: Pep
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tabia ya kupita watu bila kusalimia sio kabisa
 
Niliwahi taka kuruka kwenye daladala kama makondakta wanavyofanya,aisee siji sahau namna nilivyolamba lami,na ilikua mchana kweupee.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…