WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
Mila ,desturi na imani ni identity ya jamii
Mila yoyote , desturi yoyote au dini yoyote inayopandikizwa kwenye jamii bila kuwa na chimbuko kwenye jamii yenyewe ni kurudi nyuma kimaendeleo.
Hatuwezi kuendeleea kwa kuambiwa tukataze ukeketaji na wakati huo huo tupandikize desturi ya kukubali ushoga kwenye jamii zetu.
Kwa hiyo kuangalizia mila na desturi za za waholanzi au wasweeden sio suluhisho.
Mila ,desturi na imani ni identity ya jamii
Mila yoyote , desturi yoyote au dini yoyote inayopandikizwa kwenye jamii bila kuwa na chimbuko kwenye jamii yenyewe ni kurudi nyuma kimaendeleo.
Hatuwezi kuendeleea kwa kuambiwa tukataze ukeketaji na wakati huo huo tupandikize desturi ya kukubali ushoga kwenye jamii zetu.
Kwa hiyo kuangalizia mila na desturi za za waholanzi au wasweeden sio suluhisho.
As long as tunaongea dini kupandikizwa katika jamii, hatuwezi kuacha kutaja imani ya mungu, hususan mungu wa Judeo-Christian traditions, lakini pia idea nzima ya ku submit kwa authority ya kiungu kuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo.
Ukishaanza kuamini kwamba kuna huyu mungu kakaa juu anaangalia mambo yote, unaacha kuchukua personal responsibility, unaanza kuomba na kusali zaidi kuliko ku reason.
Kwanza usichanganye traditions fulani katika tamaduni za wenzetu ambazo labda- labda- zinaweza kuwa objectionable, na positive trends za freedom zilizopo katika cultures hizo. Ni sawasawa na kupima mito ya continent inamwaga maji upande gani kwa kutumia kichuguu cha uwani kwako. Unakosa statistician wanachokiita "sample space" ya kutosha ku lend credibility to your observations.
As long as tunaongea dini kupandikizwa katika jamii, hatuwezi kuacha kutaja imani ya mungu, hususan mungu wa Judeo-Christian traditions, lakini pia idea nzima ya ku submit kwa authority ya kiungu kuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo.
Ukishaanza kuamini kwamba kuna huyu mungu kakaa juu anaangalia mambo yote, unaacha kuchukua personal responsibility, unaanza kuomba na kusali zaidi kuliko ku reason.
hee!!!!!!!! ndivyo wewe ulivyoelewa mwenzetu????????? pole sana............. msiwe mnavamia mambo kabla hajayaelewa vizuri.....................
..........Chukulia Mzazi anayeamrisha Mtoto aende Sunday School au Madrass, ili iwe nini? Kwa nini Mtoto huyu asipewe Uhuru wa kuhiari anachotaka alimradi analelewa katika misingi ya kawaida ya kijamii inayomfanya awe muadilifu, mchapa kazi na mwenye kujua mipaka?
je, ina maana mila, desturi au hata imani za kidini hudumaza maendeleo?
si kweli, nchi karibu zote za Kimagharibi, kimaadili na kimisingi zimejengwa kutoka katika Ukristu; nchi za Kiarabu na Kiislamu ambazo leo zimefanikiwa sana au zinapiga hatua ya maendeleo zinaongozwa na imani na desturi zao, hilo laweza kusema pia kuwa ni kweli uko Uchina, Japani, na India!
Ni Afrika tu ambapo hatutaki kukubali kuwa na sisi tuna desturri na mila zetu ambazo tunaweza kuzitumia kuchochea maendeleo. Tunaamini maendeleo ni pamoja na kukumbatia desturi na mila za wageni!!
Mila na desturi zetu si kikwazo cha maendeleo; mila na desturi za wageni zawezekana kuwa ndiyo kikwazo!
Wewe umeelewa kwamba mimi nimeelewaje? Maana unaweza kufikiri kwamba umeelewa nilivyoelewa kumbe hujaelewa hata punje.
Pole sana, how condescending.Condescension is a sure flag for ignominy.Pole wewe unayejiona kuwa unaweza kumpa pole Chief mwenyewe Kiranga.
As for kuvamia mambo nisiyoyaelewa vizuri, angalia isije kuwa wewe ndiye unayevamia mambo usiyoyaelewa vizuri.
Kama unabisha kwamba unayaelewa mambo haya vizuri, let's go toe to toe with a reasoned exchange.
Sio one liners zinazofuatiwa na nukta nyingiiii (............................) WTF does that even mean? Are you writing a table of contents?
One liners hizi zinaonyesha uvivu wa kufikiri na ku develop positions, sasa kama huwezi hata kuandika coherently kutetea positions zako, au kama huwezi ku explain ukaeleweka unamaanisha nini kwa kusema "wewe ndivyo ulivyoelewa mwenzetu" unategemea tunaweza kwenda toe to toe tuka discuss Hegelian dialectics, Anselm, Augustine, Kant, Popper, Russell, Mbiti, Diop na some new spontaneous stuff?
I don't mean to be crude, but I find intellectual laziness to be cruder
Gtfakadahere
My point remains, habari za kuamini mungu na kuogopa mapokeo/ authority zinadumaza maendeleo.
Kila kitu kinapaswa kuwa challenged.
Kama wanavyosema TVZ/ SMZ (sijui kama bado wana hii slogan ya Karl Marx)
Mapinduzi Daima.
mkuu inaonekana unajitahidi sana katika lusoma na kujisomea............. hongera na kaza buti zaidi............. inapendeza kuona unafahamu kidogo falsafa na wanafalsafa japo kwa majina yao lakini unahitaji pia kufahamu kidogo kuhusu maisha................ na pia japo kidogo kuhusu dini.......................... kung'ang'ana na falsafa bila kujua maisha ni nini ni sawa na mtu anayemtamani panzi anayeruka porini huku akiwa anampuuza njiwa aliye mkononi!!!!!!!!!............
nimeshindwa kushiriki mashindano uliyopendekeza kwa sababu sijajua tutatumia lugha gani................. pili sijajua kama utajadili kwa kutumia mawazo yako ama ya hao mabingwa wako ulionirodheshea............. na tatu sijajua kama dini yako ya sasa inauruhusu kujifunza kuhusu dini zingine na Mungu wa kweli................ ukinisaidia hapo, hata haya ya "table of contents" (kama ulivyoyaita) utayaelewa................
JE, katika mila na desturi zetu kama Waafrika kuna mambo mazuri ambayo tukiyashikilia yanaweza kutusaidia katika kuelekea maendeleo? kama yapo ni yapi? Je, ili tuendelee ni lazima tupokee mila na desturi za watu wengine kwa sababu tunazihusisha na ubora na maendeleo?
Wazungu walivyokuwa wanaamini sana dini na authority za kina Aristotle tulikuwa nao sawa, mpaka juzi juzi hapa kwenye 1500's
Wakapata matatizo sana, wakauana sana kwenye vita za kipuuzi kuwania ardhi na ufalme. Wakapata bubonic plague iliyoua mtu mmoja katika kila watatu katika population nzima ya Europe.
Wakaanza kujiuliza, huyu mungu kama yupo kweli mbona anatutesa hivi?
Pole pole wakaanza ku question vitu, wakaanza ku question authority ya Pope, wakaanza ku question authority ya diktats za kina Aristotle, sayansi na reason ikazaliwa upya katika enzi za Renaissance na Reformation.
Ndipo hapo Ptolemy alipopinduliwa, mfumo wa uongo kwamba dunia ipo katikati ya ulimwengu na jua pamoja na nyota zote vinazunguka dunia ulipopinduliwa na sayansi za uchunguzi, Copernicus akaonyesha dunia inazunguka jua.Hapa tunaona revolutions zinavyoendana pamoja na ku debunk authoritarian myths.
Galileo akaonyesha kwamba ukiondoa air resistance, kanuni za Aristotle kwamba vitu vizito huanguka kwa kasi zaidi ya vitu vyepesi si ya kweli, kwa kutumia sayansi ya majaribio.
Hapo ndipo maendeleo ya Europe kupita Afrika yalipoanzia, kabla ya hapo tulikuwa almost sawa.
Kwa hiyo tusitake kusema Ulaya wameendelea despite kuamini mungu, actually ulaya wameanza kuendelea baada ya kuacha kuamini mungu na kuanza kuweka mkazo kwenye uchunguzi wa kisayansi.
Waarabu wamejaliwa natural resources kwa wingi na wameanza kuzi exploit kitambo, lakini zaidi ya hapo wana maendeleo gani ukiacha legacy ya kihistoria.Waarabu wamegundua nini recently? Na mimi naweza kuhusisha hii dormant nature yao na imani za kidini, wana madrasa zaidi ya madarasa.
My point remains, habari za kuamini mungu na kuogopa mapokeo/ authority zinadumaza maendeleo.
Kila kitu kinapaswa kuwa challenged.
Kama wanavyosema TVZ/ SMZ (sijui kama bado wana hii slogan ya Karl Marx)
Mapinduzi Daima.
Hizi mbona ni porojo tu?
Hizi mbona ni porojo tu?
Ni porojo kwa sababu si kweli hizo ndizo zilikuwa sababu za maendeleo na kama causes of black death until the 19th century bado kulikuwa na common occurances ya vifo vya misimu in some areas.Kama unakusudia kusema maneno yuangu ni porojo, porojo zaidi ni kuzisema hizi porojo bila kuonyesha porojo ilipo.
No research, no data, no right to speak.
Tuonyeshe porojo iko wapi tuone.
Ama sivyo maneno yako "Hizi mbona ni porojo tu" yanaweza kuwa ndiyo porojo kubwa kabisa katika thread hii.