Vikwazo na Maajabu ya Lowassa! Jiulize kwanini?

Vikwazo na Maajabu ya Lowassa! Jiulize kwanini?

Sio wewe Jamaa kaidisha sifa mimi nazani angehamia mamtoni jumla tujue hatunae tena
 
Hapa kazi tu. Ni mwendo wa kulala mbele na mafisadi leo magufuli kaanza na chenge baada ya uchaguzi ni lowassa lazima akamatwe afilisiwe mwizi mkubwa huyu wa Mali ya umma.mafisadi waliokimbilia chadema labda wahame nchi. Magufuli my president hoyeeeeeeeeeeeesssss
 
Tunamchagua Rais kwasababu ya Maono ya viongozi wa dini???

Kweli watanzania tuna mambo
 
Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa, nitakuombea hadi nakufa...!!!

LOWASSA, UKAWA, ndio UKOMBOZI WETU SOTE....!!!

Leo ndio nimegundua kumbe wana CCM na UKAWA, pia mamilioni wana muunga mkono...Lowassa..!!!

Sasa Wana UKAWA plus WANA CCM wengii, hawa ni nchi nzima...

Lowassa, Ukawa, Ikulu asubuhiiiiiiii...!!!!!
 
Lowasa hachafuliki tena wanahangaika tu na ndyo rais ajaye
 
Hapa kazi tu. Ni mwendo wa kulala mbele na mafisadi leo magufuli kaanza na chenge baada ya uchaguzi ni lowassa lazima akamatwe afilisiwe mwizi mkubwa huyu wa Mali ya umma.mafisadi waliokimbilia chadema labda wahame nchi. Magufuli my president hoyeeeeeeeeeeeesssss

Ukisema ufisadi kisha ukammpoint Lowasa peke yake ni sawa na kusema kutoa tyre moja la akiba kisha ukasema gari halitakwenda. Magufuli ni fisadi mkubwa kuliko Lowasa, sema kwa sababu anagombea urais. Na kwa jinsi alivyo na kiburi anawanga majukwaani kuliko hata Lisu na Lema wanavyowanga!

10 - 1 =?? Hao wote wapo CCM na kiwanda kimezalisha wengine kama 100.
 
Back
Top Bottom