Khaa!!! Huyu jamaa ana nyota ya KUKATWA refer the history.....
Bila kukatwa saizi tungekuwa na Dr. Mihogo tunahangaika nae ambaye CCM walikuwa wanauhakika wa kushinda mchana kweupe!!KUN FAYA KUN .... Ilikuwa lazima akatwe ndani ya CCM ili Unabii utimie .... Haya ni mambo ya nyakati tu! Ilikuwa lazima CCM ife Mwaka huu kupitia Lowassa ...
Mkuu,Lowasa ndo rais wetu mwaka huu,pamoja na yote hayo lakini tutamchagua hapo ndo ananishangaza mtu huyuKutoka mtuhumiwa wa ufisadi hadi kuwa shujaa wa maabdiliko na harakati za ukombozi siyo mchezo.
Ukisema ufisadi kisha ukammpoint Lowasa peke yake ni sawa na kusema kutoa tyre moja la akiba kisha ukasema gari halitakwenda. Magufuli ni fisadi mkubwa kuliko Lowasa, sema kwa sababu anagombea urais. Na kwa jinsi alivyo na kiburi anawanga majukwaani kuliko hata Lisu na Lema wanavyowanga!
10 - 1 =?? Hao wote wapo CCM na kiwanda kimezalisha wengine kama 100.