Khaa!!! Kumbe humu ndani tunamahitaji tofauti sana. Wengine tunataka tuwe na mazingira mazuri ya kuchapakazi kwa kutumia fursa zitakazopatikana lakini wengine shida yao kubwa ni CCM ife tu. Akili zetu bado sana :glasses-nerdy:KUN FAYA KUN .... Ilikuwa lazima akatwe ndani ya CCM ili Unabii utimie .... Haya ni mambo ya nyakati tu! Ilikuwa lazima CCM ife Mwaka huu kupitia Lowassa ...
Khaa!!! Kumbe humu ndani tunamahitaji tofauti sana. Wengine tunataka tuwe na mazingira mazuri ya kuchapakazi kwa kutumia fursa zitakazopatikana lakini wengine shida yao kubwa ni CCM ife tu. Akili zetu bado sana :glasses-nerdy:
Jibu ni japesi,heri kumchagua lowassa hata kama ni mgonjwa kuliko hao wanaojiona wazima ,na watanzania tumeamua kumpeleka ikulu maana hakuna namna sasa