maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,345
- 15,852
So far Uhuru Heights- Ghorofa 27
PSPF Twin Towers- Ghorofa 35 (Bado linajengwa)
Kakakuona Building- Ghorofa 37 (linakamilika mwaka 2017) na ndio litafanya maghorofa mengine yote yawe mbilikimo
Swali, Miundombinu ya maji, umeme, na barabara yataendana na hadhi ya haya majengo? Au yatakua yanatukwangua tu