Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,147
- 2,630
Enzi za utawala wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Ali Hassan Mwinyi kulikuwa na vikundi vingi vya sanaa hasa za sarakasi, maigizo, ngoma mazingaombwe na kadhalika...hivi vikundi nakumbuka vilileta burudani wa aina yake katika jamii husika.
Wenzetu Wachina, wana vikundi vingi vya sanaa na ndo zinawachangamsha wao.
Tanzania hapa kwa kipindi kirefu tumemiss hivi vionjo vya sanaa...vingi ni vya kwenye TV na si ukumbini ama stejini, tunataka vya ukumbini kama ilivyo enzi za Nyerere na Mwinyi, isitoshe teknolojia siku vinaweza kurahisisha kazi za sanaa za ukumbini ama stejini...