Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanaukumbi.

BREAKING: Al-Qassam Brigades:

Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:

Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa jeshi la Israel linalokaliwa kwa mabavu, na kuwaua na kuwajeruhi mashariki mwa mji wa Beit Hanoun.

View: https://x.com/suppressednws/status/1915751778710138893?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Nimeitoa sehemu hii😂
I always meant to ask - where do these Hamas soldiers stay actually? Always taking photos with DSLR camera and clothes are not even wrinkled. Not a dust on the whole body. Is this possible fighting against genocide and still be so untouched?
 
Wewe
Wanaukumbi.

BREAKING: Al-Qassam Brigades:

Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:

Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa jeshi la Israel linalokaliwa kwa mabavu, na kuwaua na kuwajeruhi mashariki mwa mji wa Beit Hanoun.

View: https://x.com/suppressednws/status/1915751778710138893?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe KIBWENGO umeibuka na uongo ambao kwenu Mnauita TAQIYYAH? Kichwa cha habari na maelezo hapo juu ni tofauti,
Kichwa cha habari inasema Magaidi wameteka askari wa Israel wanne na kujeruhi wengine, kwenye maelezo yanasema magaidi hao wamewajeruhi askari wa Israel. Hapo sisi wamatumbi kutoka Kilwa tushike lipi?
Karibu sana KIBWENGO tahadhali hapa JF ni sehemu ya GREAT-THINKERS uache uongo wako huko huko ulikokuwa hapa si machali pa MAZUZU kama wewe
 
Wewe punguani wala uwa sina muda wa kusoma uharo wako.

View: https://x.com/shadowed_news/status/1915748473539789081?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

😂
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Al-Qassam Brigades:

Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:

Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa jeshi la Israel linalokaliwa kwa mabavu, na kuwaua na kuwajeruhi mashariki mwa mji wa Beit Hanoun.

View: https://x.com/suppressednws/status/1915751778710138893?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

retaliation , netanyahu anaenda kupiga raia na majengo --- ushabiki ukiwa upo tanzania hapa unakua burudani sana
 
Wameishauwa watoto zaidi ya 16,000 hamna jipyq.
Wakati hao watoto wanauwawa baba zao na mama zao walikuwa wapi.? Au mabomu ya Israel yanaua watoto tu? Au watoto wanawafanya kuwa kinga ( Human-Shield) kama magaidi wengine wanavyofanya?
 
Wanaukumbi.

BREAKING: Al-Qassam Brigades:

Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:

Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa jeshi la Israel linalokaliwa kwa mabavu, na kuwaua na kuwajeruhi mashariki mwa mji wa Beit Hanoun.

View: https://x.com/suppressednws/status/1915751778710138893?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Magaidi wa Hamas hawana uwezo wa kuteka askari wa Israe hata kidogo wewe endeleza tu uongo wako wa kijinga. Unashindwa kitu gani kutuwekea picha za askari waliowateka? Wadanganye tu Wajinga na wapumbavu kama wewe!!! Mtu mzima unasema uongo hata uongo huogopi?
 
Back
Top Bottom