steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,629
unakumbukumbu gan na kanembwa?BULOMBOLA JKT KIGOMA
RWAMKOMA JKT MARA
MSANGE JKT TABORA
KANEMBWA JKT KIGOMA
MTABILA JKT KIGOMA
MGULANI JKT DAR ES SALAAM
RUVU JKT PWANI
OLJORO JKT ARUSHA
MAKUTUPORA JKT DODOMA
MGAMBO JKT TANGA
MBWENI JKT DAR ES SALAAM
CHITA JKT MOROGORO
MALAMBA JKT TANGA
MAFINGA JKT IRINGA
MLALE JKT SONGEA
NACHINGWEA JKT LINDI
ITENDE JKT MBEYA
CHUO CHA UONGOZI JKT DAR ES SALAAM
MAKAO MAKUU JKT DAR ES SALAAM
KIKOSI GANI UNAKIKUMBUKA KAMA ULISHAWAI PITIA JKT
BINAFSI KANEMBWA JKT KIGOMA
ila uyu jamaa uyu jamaa uyuHajapatikana ndio maana mpaka leo kuruti wote wa kambi zote wanaimba wanamtafuta malela
Op IPI mkuuWale Makutupora Dodoma. 834kj....
Magufuli mkuuOp IPI mkuu
Hiko kiduku chako kitanyolewa na PangaNatamani kwenda jkt na mimi
Umenikumbusha mbali sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm nilikuwa 833kj oljoro jkt kipindi icho tunaenda kitundu,mti wa shetani,shamba dunia duka la mbao embakasi hatari tupu uko.Kuna kijiji flan ivi uko kuna wamang'ati awo wana vaa semi nacked hatari uko nilipiga pale jkt na tpdf the same palepale na nikapangiwa kikosi kilekile.........nakumbuka kuna cku nilikuwa ulinzi main gate kuna kamanda mmoja iv officer luten alikuja na gari yake usiku nikamwambia zima taa zako akawa anaweweseka nikamwambia aisee ww kamanda wangu ndio ila niko ulinzi nw zima taa kamanda akawa anazingua ataki eti kisa yy anacheo kikubwa mm private yy luten nilienda nikamtoa kwnye ndinga nilimlolisha mpaka akakoma mwnyewe kesho yake nikapelekwa mahabusu nilipigwa extra drill iyo hatari bada ya wiki moja nikala uhamisho Chita nikapelekwa Mlimba uko Morogoro mana nilikuwa askari mkorofi sana hahahaha but nw nimekuwa mtumzima ule ulikuwa utoto....
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
hahaha!Umenikumbusha mbali sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah deti,churwasifa Lugongo,majumba matatu...
Tulia weweaskari wa kileo ni Rais kutoa sir I za jeshi sana nahisi hata tukiwauliza idadi ya wanajeshi,silaha,ramani ya kambi na etc mtataja wote mulio komenti mjitafakari ni wepesi kununuliwa na age zenu ni 22-30
Jamaa gani
Op gani wwMaramba 838KJ
Miaka 50 ya uhuru awamu ya 2.Op gani ww
Kijana mazigazi op gani maana mimi ndio nilikua oc wa det ya abMtabila JkT chini ya kamanda major GB Kazaula .
.
Kambi nzuri sana kwa mafunzo inaeneo kubwaaaa sanaaaaa duuuh
Nilikoma.
Jaribu kfanya usailiii ukitangzwaaaNataman Sana kwenda jkt lakin nafac Cjui nitaipataje
soonNatamani kwenda jkt na mimi