Mkuu, embakasi unapakumbuka?842KJ Mlale JKT, sitopasahau hapa, wangoni walitukoma miaka hyo.
Masangu, Mlandizi, Lusonga, Ruvu kituo cha umeme kule, mlima Zuhura, Magagura..... wacha kabisa, mbura, miwa, masuku, mihogo.... tulitesa sana.
Baadae nikahamia 843KJ Nachingwea JKT. Huko nako, acha tu siwezi sahau yale maisha.
Miaka gani mkuu umepita pale842KJ MLALE
Aisee ogopa ile "run way ya ndege!" Ile ni noma, ingawa sijajila sana kule maana mimi nilikuwa tengo la ufundi. Lakini kipindi cha "six week" nmejilajila kuleMkuu, embakasi unapakumbuka?
Kuchunga mbuzi, ng'ombe na kondoo!Makuyuni jkt. Laaa kasheshe
Afande Mkango, Shetani na Chokera Eagle Coy. Operation Tujisahihishe. Pte. G7777 reporting to duty.832kj Ruvu
Imenikosha sana hyo avatar yako mkuu.841KJ MAFINGA
Hahahahahahahahaha!we jamaa umenifanya nicheke kwa nguvu alafu nipo ukweni....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]835kj mgambo jkt,japo muanzisha maada hujatuambia unataka nini?, au umetumwa utupeleke kibiti?
Sawa mkuuImenikosha sana hyo avatar yako mkuu.
Operation gani mkuu,mimi nilikua OP Magufuli[emoji24]Mtabila JkT chini ya kamanda major GB Kazaula .
.
Kambi nzuri sana kwa mafunzo inaeneo kubwaaaa sanaaaaa duuuh
Nilikoma.
Kuchunga mbuzi, ng'ombe na kondoo!
Kurutaaa! Afande!Umenikumbusha na haka ka wimbo wakati kwa kwenda usawa wa gudulia ( hasa kwa wale walipitia Makutupora)
niende mafinga nibaki makutu.....(mwimbishaji)
yote makambi makubwaa (kiitikio wote)
Amri ya jeshii iiii inanichungulia
Hata kama nikijongooo oooo inanichungulia....
duh, those days!! huwezi kusahau. Kwa ambao hamjapitia jeshini, kujongo ni kujongomea aka kutoroka. Usawa wa gudulia (sufulia kuwa la msosi)
Mzakwe weweee! Mtunduruni. Bustanini. Kwa CO.834 Kikosi Cha Jeshi
Bios Gas
Kwa Mbuzi
Bustani
Zabibu
Acha Kabisa Kitu Matupora Dodoma
Kwenye Mitunduru Ya Kila Kona Ya Kikosi
Col. Mbowe.Nirikuwaga colonel hapo makutupola
mlale jkt kuna jamaa lilikua linatoroka kila siku kwenda lusonga hadi tukamtungia wimbo.842KJ Mlale JKT, sitopasahau hapa, wangoni walitukoma miaka hyo.
Masangu, Mlandizi, Lusonga, Ruvu kituo cha umeme kule, mlima Zuhura, Magagura..... wacha kabisa, mbura, miwa, masuku, mihogo.... tulitesa sana.
Baadae nikahamia 843KJ Nachingwea JKT. Huko nako, acha tu siwezi sahau yale maisha.
Umepiga pale OP gani mkuu?mlale jkt kuna jamaa lilikua linatoroka kila siku kwenda lusonga hadi tukamtungia wimbo.