Vikosi na makambi JKT

mkuu em nipe dokezo kidogo hii kanembwa mazingira na tashitit zake zikoje?
 
Muda Unavyozidi Kwenda Maafande Na Makamanda wanazidi Kujaaaa Tuuu Hadi Rahaaah
 
842KJ Mlale JKT, sitopasahau hapa, wangoni walitukoma miaka hyo.

Masangu, Mlandizi, Lusonga, Ruvu kituo cha umeme kule, mlima Zuhura, Magagura..... wacha kabisa, mbura, miwa, masuku, mihogo.... tulitesa sana.

Baadae nikahamia 843KJ Nachingwea JKT. Huko nako, acha tu siwezi sahau yale maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…