Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
- Thread starter
- #21
sawa umesomeka huwa nafanya hivyo ila nadhani leo nimejisahau kdg na asante kwa kunikumbushaMkuu Amavubi tafadhali unapocopy kazi za watu kwenye blog uwe unaandika source yako. Hii habari umeitoa kwenye blog hii ya VIKOSI MAALUM 10 VYA KIJESHI DUNIANI.
JF ni mtandao mkubwa wa kijamii lakini ni muhimu kuaacknowledge source za nyuzi au uzi ili credit ziende pia kwa wengine walioandaa habari unayoandika.