Wakuu,
Kuna mama yangu anaitajii kufanya biashara ya vikapu vile vinavyosukwa kwa kutumia mianzi na milala lakini shida iliyopo mahala gani vinapatikana kwa wingi na bei zake ni zipi huko vinakopatikana?
Hivyo kwa mwenye kujua naomba anifahamishe hapa.
Karibuni
sawa mkuu nasubiri info zaidiMkuu nilifanya hiyo biashara mwaka 2011.... Nilikua nachukua mzigo tandika mitaa ya devis corner.....kikapu kimoja kilikua 4000 na kuna vingine 5000. Kuna jamaa yangu bado anafanya hiyo biashara nitamcheki weekend atakua na info zaid.