Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,401 Reaction score 31,659 Jun 4, 2018 #81 Kwani huyu mheshimiwa wa sasa anatokea kojiji gani? Au yeye ni wa mjini? Btw sijaona kijiji changu cha Nakapanya hapo...
Kwani huyu mheshimiwa wa sasa anatokea kojiji gani? Au yeye ni wa mjini? Btw sijaona kijiji changu cha Nakapanya hapo...
cyrax Senior Member Joined Mar 12, 2017 Posts 110 Reaction score 109 Jun 6, 2018 #82 Kuna kinaitwa HEDARU ni maarufu sana kwa usambazaji WA mirungi kipo same
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,127 Reaction score 121,584 Jun 6, 2018 #83 Namtumbo.