Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
ama kweli lowasa kaamuwa kuwa mtoto mzuri kuwakopesha vijana wa jimbo lake mikopo ya 'riba nafuu'. bila shaka nae kakopa toka benki baada ya kuwaonea vijana wake uchungu wa mwana. dah! 2010 iko karibu!

Kwa hakika ya 80% atapata kura za watu wa jimbo lake...Wanampenda sana
hawa watu huku RichardMonduli...Wacha watu wake wafaidifaidi tuhela twake
fisadi huyu!!.
Lakini kitakachotustua wengi ni kama atajaribu kuvuka anga za jimbo lake na
kutaka kugombea urais 2015...hapo nitajua `he meant business!!
Jamani tuelezeni hiyo mikopo ya riba nafuuuu ikoje koje?
- 1
HIZO FEDHA KAZITOA WAPI? NAJUA NITAJIBIWA KWENYE BIASHARA LAKINIIIIIIIII ..... mimi simo jamani, labda mwanakijiji atamsaili kidogo
- ANAKOPESHA KWA RIBA NAFUU AMEPATA KIBALI CHA KUFANYA HIYO BUSINESS/TRANSACTIONS KUTOKA KWENYE MAMLAKA HUSIKA? AU ANAFANYA KISANII KAMA MITAANI? ILA KWA STATUS YAKE ANAZIJUA VEMA SHERIA NA KANUNI ZA KURUHUSU KUTOA MIKOPO KWA RIBA.
- 1
- 1.2
Wapi na Wapi Lowassa Agombee Wakati Dr. Shayo Na kundi lake wanawania Urais? si unaona wanaitana Marais watarajiwa 2015????
Wapi na Wapi Lowassa Agombee Wakati Dr. Shayo Na kundi lake wanawania Urais? si unaona wanaitana Marais watarajiwa 2015????
hapo ndipo wabongo mnaponikoshaDr Shayo mimi binafsi bado sijamfahamu katika anga za
siasa,, unaweza kunifahamisha ni nani huyu na ana
umaarufu gani?..please!