vijimambo vya vyoo vya master bedroom

Ha ha we Tamatheo sasa unataka kuanzisha mandamano ya wababa hapa nchini, yaani katiba itamke wazi kuwa wa baba wapimwe akili kabla ya ndoa

No, no, noooooooooooooo!!!!!!!!!!!! nataka wote tupimwe kwani hata wale wanaojifungua kwa uchungu kisha wanatupa watoto wana akili timamu? na je wale wanaoua watoto wachanga kwa kigezo cha ugumu wa maisha nao si vichaa wa kuishi mirembe? Nataka katiba iseme wazi kabla ya ndoa lazima kupimwa akili na atakaye kiuka jela mwaka 1 na akirudi aelekee kwenye vipimo.
 

Katika ndoa heshima ya mke/mme inajengwa na mme/mke. Kama ukitaka kuheshimika ktk ndoa ni busara kuweka usiri katika ndoa, hakuna tabia inayoharibu heshima ya wanandoa kama umbea ndani ya ndoa kwani kila anayeambiwa anaamini na kuchekelea. Hakuna rafiki wa ndoa kwani kila mtu anatamani kurusha mawe ili kuyumbisha wawili wapendanao.....hata baba, mama, mkwe, dada, kaka, shangazi mjomba, shemegi, jirani, n.k sio RAFIKI WA NDOA YAKO believe me.
 
MKATA KIU hii ipo mimi nimeshawahi lishudia,ni mshikaji wangu na nilpomuuliza reason akasema ni sehemu ya mapenzi inachochea penzi kunoga.

Mmh, nazidi kuamini kuwa kweli mapenzi uchafu......mambo gani haya?!
 

Hii tabia ukweli nimepata kuiona na kui experince zaidi ukiishi na Wanawake wa Ki Marekani (haswa Wazungu zaidi) . Wana haka katabia ka kujisaidia na kisha kufinika ile seat bila kuflashi. Tena si haja ndogo waja kubwa. Wewe ukija kufufungua ili ujisaidie unakumbana na mzinga wa surprise🙂. Na ukimweleza anakwambia... Ooh am sorry, lakini siku mbili tatu unakuta surprise tena. Wakati mwingine ni bora kutengeneza / kununua ile sign inayotoa Ilani au Angalizo (kwa maneno ya upole) ambayo unaiweka ukutani mbele tu ya macho wakati mtu anapakua mzigo🙂. Inakumbusha kuhahakisha bathroom inawachwa katika hali ya usafi mara baada ya kuitumia, tayari kwa mtumiaji mwingine. Naamini kuweka sign ile huwa inasaidia sana.

Wakati mwingine huwa ni ngumu kukumbushia kila wakati maana mwenza wako anaweza kudhani unamkamia kila wakati. Hivyo unapokuta haja flash andika 'note' weka pale, yeye atakapoenda tena ataikutana ata-flash na utakuta ka-note kametupwa kwa dust bin na choo ni kisafi. Hivyo unajua message sent🙂. Baada ya muda atakuwa amerekebishika. Hiyo dozi inafanya kazi. Wakati mwingine mnaweza mkawa mnakwenda out vile mnafunga mlango tu anakwambia nimesahau kitu kidogo basi unajua tu "Abiria amekwenda kuchunga mzigo wake🙂"
 
Wanawake tunashida sana...hii nimeisikia kwa mashost zangu kama wa3 hivi kwa nyakati tofauti.Ni kuzoea tu hamna jinsi
 
yani inakera ka nini. unakuta mtu nje smart ka nurse alafu ndani ana mambo hayo, kazi kweli kweli.
 
Ukwaju hapo kwenye blue sijakuelewa unamaanisha unatumia choo cha nje ya nyumba kabisa au cha ndani ya nyumba ila ni public na watu wengine?
Cha nje yaani hakipo ndani ni ndani ya ua wa nyumba
na sio cha Passport km kile cha Juma Nature
na sio km hiki cha jamaa yangu



halafu EMT umenikumbusha kwa Babu km hakuna (Mlinga wo mfongo lukeuta na kindo) du majani ya majimbi lakini ya mgomba na kahawa weee acha
 
Last edited by a moderator:
Kashishi umenena vyema ila hapo kwenye rangi ya uzurungi hahahahahahahaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Ukwaju hapo kwenye papo yalishakukuta? hizo ndo zinaitwa tissue asilia au uwaulize wale waliopitia jeshi miaka ile ya nyerere na mwinyi mnapelekwa kambi porini hamna choo wala maji na umebanwa weeeh wala huulizi choo wapi na maji wapi mwenyewe unaseti mambo na baada ya muda unatoka huko saaafi.
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha JKT Makutupora Opereshani NIDHAMU palikuwa hapatoshimpaka tulizoea eneo lile ni kame hasa na ahamna maji.
Dada zetu walikuwa na viSadolin yaani nusu tu (Lita 2) ilimtosha kuoga na sikwambii waliogaje au unamsindikiza mizabibuni au kwenye Bustani anaoga ww kazi yako ni kuchunga wajanja wengine wasione, wakati mwingine tuliambulia asante kwa ulinzi (unaambulia kunawa na msosi hakupi mpaka mnamaliza ila ni cha afande)
JKT DARASA
 

kumbe na wewe ni mwenzangu mie nilikuwa ruvu bana daaah nilifanya mbinu hadi nikapangiwa jikoni. JKT darasa kweli tisa yote disco bana mnaimba weee asubuhi kengele kuamka, siku ikiwa ya kwenda porini tunajongomea aaah ila raha baada ya kuzoea, vile vibukta vilitutesa sana wadada, unakumbuka kuangusha minazi?
 
huo sasa ni ujinga,kama awezi kuflash,ku-do ataweza kweli?shame on them
 
Mwanamke hujafunzwa kwa mama yako utafunzwa kwenye kicheni pati?
 
Hata kama asingemhadithia shosty wake inabidi ahakikishe anamwambia mumewe aache huo uchafu maana amepitiliza hadi kinyaa..fikiria kama huyo mwanaume anafanya kazi huko akijisaidia atahangaika hata kuflash kama kwake hafanyi hivyo nyumbani kwake..
Mtu mchafu ni kero kabisa na nilishamkanya x-bf mmoja, alikuwa akija kwangu kama amejisaidia hata haja ndogo mkojo umezagaa kwenye kalio la choo na hapangusi wala kushtuka ilinikera kweli..nikamwambia mbona shimo dogo unalengesha vizuri ije kuwa shimo kubwa kama hili..khaa! na kama huwezi kulengesha futa ukishashusha uchafu wako!!
Nawahurumia sana wafanya usafi vyooni, kuna watu wachafu jamani tena wengine wakishashusha hawajali wengine wanaokuja kutumia vyoo...huko maofisini, migahawani nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…