Huo ni uchafu na kumtafutia mwenzako sababu ya kutapika.lol!
Mababa wote wenye tabia hii ni wachafu na wanyanyasaji, kisa cha kumnyanyasa partner akione chumba kama kituo cha polisi, Huyo wakutosafisha mwezi, ndio ukute linakunywa pombe mh hilo kojo lake linavyonuka si balaa hii, wanajutaje wake zao!
maisha ya ndoa ni makubaliano yenu.kuna wake wengine hawa mind kabisa kusafisha choo,kama mume kachafua,atasafisha.ila ki ukweli mwanaume ufanye haja yako,ushindwe hata ku flush jamani?huo ni uvivu na uchafu.hata kama mke ana safisha basi wewe flash choo,baada ya kutumia.mwanamme ambae ni mvivu wa ku flush nina amini na boxer zake huwa chafu.mimi kwa upande wangu katika sehemu ambazo napenda ziwe safi ni choo na jiko.
Mwanaume ukimwendekeza atakunyea kiganjani!
Dawa yao hawa - mchunguze sana kabla hajakuoa.Ndivyo nnlivyofanya miye.
Mmh, ni kumfundisha tu
Kidogo kidogo anaelewa, watu tumetoka kwenye background tofauti sana
ni kwelinyumba kuta nne jamani lol!na bati lake juu!
hapo kwenye red ni muhimu kuzingatia, ndo hapo uvumilivu unatakiwa, kumchukulia mtu alivyo na kumkubali kama sehemu ya maisha yake kama ikishindikana kumuelekeza au kumfundisha. Sasa uwe na kipaji cha ualimu tena wa chekechea sio uwe lucture unayefundisha bila notsi wala mifano.
Mbona hainiingii akilini? Ina maana jamaa hata kuoga ni ishu sasa! nilisikia huko majuu kuna aina ya vyoo usipoflashi mlango haufunguki. Labda itakuwa solution vikiletwa na huku.
Ikishafika saa 11 jioni una saa moja siku kuisha utakumbuka kuchunguza haya yote?
Unaweza ukaikuta kwenye choo sasa hii ni mara moja lbda kwa muuuda, but hii ya mtu ndio tabia yake na ndio unaishi naye 7 days a week, 12 months a year x miaka utakayoishi naye mh! si unyanyasaji wa kisaikologia huu !Hili ni kwa wote NATA hujawahi kuyakuta kwenye vyoo vyenu? i.e vile vya jinsia moja......Tabia ni tabia hata akiifanya Raisi haitageuka kuwa sio tabia.
hahahahahahaaaaaaaa hapo nilipoweka red colour umenichekesha saanaaaaaaa
Umenifurahisha sana kwa mada zako za leo mm nakaa third class (yaani nyumba yangu nimeweka wapangaji) na nikikuta mtu kaflash vibaya namaliziani kweli kabisa ukiwaza mie nikikuta choo kimeachwa kichafu ntajiskiaje lazima ukimaliza haja yako unasafisha ili wakati ujao ukute mazingira safi. Haja ni starehe mahala pakiwa safi, utakuta hata maofisini au vyoo vya mahoteli mtu akimaliza haja anaacha wazi kilakitu hajui hata kusafisha looh, kweli ustaarabu kitu cha bure.
Umenifurahisha sana kwa mada zako za leo mm nakaa third class (yaani nyumba yangu nimeweka wapangaji) na nikikuta mtu kaflash vibaya namalizia
Swali kwenu nyie wa Masterbedroom mnaojisaidia ndani
kumbe mnaangalia choo kusafishwa na kuflashiwa bado mnatumia Toilet paper? na mmalizapo mnatoka
Sharti kwa Mke wangu ni kujiswafi na maji iwe haja ndogo au kubwa hii ndo usafi kwani atakumbuka hata kuflash
Ukwaju hapo kwenye blue sijakuelewa unamaanisha unatumia choo cha nje ya nyumba kabisa au cha ndani ya nyumba ila ni public na watu wengine?Umenifurahisha sana kwa mada zako za leo mm nakaa third class (yaani nyumba yangu nimeweka wapangaji) na nikikuta mtu kaflash vibaya namalizia
Swali kwenu nyie wa Masterbedroom mnaojisaidia ndani
kumbe mnaangalia choo kusafishwa na kuflashiwa bado mnatumia Toilet paper? na mmalizapo mnatoka
Sharti kwa Mke wangu ni kujiswafi na maji iwe haja ndogo au kubwa hii ndo usafi kwani atakumbuka hata kuflash