Vijimambo katika mahusiano ya kimapenzi

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Katika mapenzi mambo mengi ya kufurahisha na pengine kusikitisha hutokea. Si ajabu wengine hupigana na hata kufikishana polisi then mahakamani. Wana jukwaa, leo hii ningependa tuelezane jambo hili"ingawa inaweza ikawa ni mambo ya chumbani zaidi". Swali lenyewe ni hili! NI NENO GANI ULILOWAHI KUELEZWA NA MPENZI WAKO LIKAKUUMA SANA AMA LIKAKUFURAHISHA SANA NA HUTOWEZA KULISAHAU KAMWE. Karibuni!!!!!!!
 
...you are the best thing that ever happened to me.....whether he meant it or not......it meant a lot to my self esteem.
wewe je? :wink2::rain:
 
Ninakumbuka vema ilikuwa siku chache kabla ya harusi yangu kijijini kwetu, mimi nikiwa finalist UDSM na mchumba(mke wangu kwa sasa) alipokuja Hall 5 chumba namba 1279 na ktk maongezi yetu alinieleza"Bikra yangu ndo itakayokuwa zawadi yangu kwako siku ya harusi yetu mimi na wewe". Enzi hizo alikuwa akisoma Morogoro chuo cha ualimu. Nashukuru, alichoniahidi ndo nilichokikuta.
 
Miaka michache iliyopita nilikuwa mwanachama wa magazeti ya JITAMBUE na MSAURI WAKO. Kuna siku nilisoma kisa cha dada mmoja ambaye alieleza kuwa alitaka kujiua kwa kuwa mpenzi wake kamwambia kuwa ana uchi mkubwa sana kiasi kwamba kibamia chake hakifai kitu. Sipati picha maumivu aliyoyapta mdada yule. Jamani, tuwe tunachagua maneno ya kuwaeleza wenzi wetu wawe marafiki, ndugu na hata jamaa zetu. Kauli nyingine, mpaka mwili unasisimka
 
Siku demu wangu mpendwa aliponiambia 'sijawahi kufikiria kushiba ngono kama nilivyoshiba leo'. Alikula mikupuo mitatu na yote aliinjoi sana 'chakula' na kuridhika. Hiyo ndiyo siku aliyosema hataniacha kamwe na leo hii ndiye mama watoto wangu watatu.
 
Du! Kweli hii kauli haifai...
 
siku demu wangu aliponiambia wakati tunase* et ''MBONA SISIKII UTAMU KAMA ULE WA X-MCHUMBA WANGU'' niliamua kutomt*mb* tena kwa miez 6. Ila kwa sasa bado ninaye shauri ya wedding na limbwata alilonipa.
 
Hakika wakati shemeji yenu aliniambia hajawahi kufika nilipomfikisha cku hiyo...dah! nilijihisi kama waziri mkuu bungeni!!!!!!!:wink2:
 
siku demu wangu aliponiambia wakati tunase* et ''MBONA SISIKII UTAMU KAMA ULE WA X-MCHUMBA WANGU'' niliamua kutomt*mb* tena kwa miez 6. Ila kwa sasa bado ninaye shauri ya wedding na limbwata alilonipa.
Ahahahaaah! Ina maana humpendi ila limbwata ndio inafanya kazi!
 
Punguza hasira!!! Alikwambiaa nini?

hanitaki ana mtu mwengine anayempenda kuliko mie.Nilipanga kumuoa lakini ndo hivyo. Nilibembeleza lkn wapi kila nikikumbuka naumia sana.Hii thead yako imenitonesha kidonda
 
Me n u wont make it no more......halafu ni leo leo, nilitamani kufa, ndio natoka hospitali sasahv
 
Ilikuwa baada ya mwaka ya mahusiano yetu kuwa anataka niwe mke wake, na kuniambia b4 that alikuwa hamaanishi kusema ataniona. Na ameamua kuwa mkweli baada ya kuridhika na tabia yangu ilikuwa cku yake ya kuzaliwa,iliniuma kuona alikuwa ananidanganya na nilifurahi kuona amegundua hazina iliyojificha
 
Siku demu wangu mpendwa aliponiambia 'sijawahi kufikiria kushiba ngono kama nilivyoshiba leo'. Alikula mikupuo mitatu na yote aliinjoi sana 'chakula' na kuridhika. Hiyo ndiyo siku aliyosema hataniacha kamwe na leo hii ndiye mama watoto wangu watatu.

hapo juu nimesoma ya KAUMUZA nikafurahi sana kwa zawadi aliyopewa, niliposoma hii yako Bwana Quick furaha yote imekwisha! I think this is bad one. unataka kusema kwako mkeo alivutiwa na sex basi? Wataalamu wanasema miaka ya 40 na kuendelea wakati kichwa kimejaa vitu vingi kunauwezekano wa mwanaume kupungukiwa na nguvu zake za kiume, sasa mkeo atafanyaje ikikutokea?
 
Back
Top Bottom