Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

Vilio vyatawala kwenye makambi ya JKT leo baada ya vijana zaidi ya 3000 kurudishwa nyumbani wakina wamehitimu mafunzo ya kijeshi bila kupewa ajira huku wakiwa na sifa mbalimbali wengine degree nk waliingia kwa kujitolea majambazi yataongezeka mtaani .
Kwani waliingia kwa kuahidiwa ajira? Kuna makundi mawili yanayojiunga na JKT, 1. Kundi la kujitolea, 2. Kundi la wasomi wanaojiunga kwa mujibu wa sheria. Hao wako wa kuajiliwa na JKT ni kundi gani?
 
hali itaendelea kuwa ivo, maana watu now wote wanataka kimbilia jeshini tena kwa vyeti vya darasa la 7.

alafu j.k.t haijasema ni lazima kuwaajili, ipo kuwapa mafunzo ya kujitegemea mambo ya ujambazi kuongezeka ni fikra zako.

si wamefunzwa uzalendo asa ujambazi unakujaje?
 
Vilio vyatawala kwenye makambi ya JKT leo baada ya vijana zaidi ya 3000 kurudishwa nyumbani wakina wamehitimu mafunzo ya kijeshi bila kupewa ajira huku wakiwa na sifa mbalimbali wengine degree nk waliingia kwa kujitolea majambazi yataongezeka mtaani .
Ngoja wafike mtaani Kwanza kisha tufanye tathmini ya uzalendo wao au wataungana na kundi lile........
 
hali itaendelea kuwa ivo, maana watu now wote wanataka kimbilia jeshini tena kwa vyeti vya darasa la 7.

alafu j.k.t haijasema ni lazima kuwaajili, ipo kuwapa mafunzo ya kujitegemea mambo ya ujambazi kuongezeka ni fikra zako.

si wamefunzwa uzalendo asa ujambazi unakujaje?

Mkuu nimecheka sana pale ulipoandika kwamba wamefunzwa uzalendo sasa ujambazi unakujaje kwa hiyo mkuu Jambazi sio mzalendo
 
Back
Top Bottom