Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 422
Hakuna jipya!
aiseeeee babayangu fafanua zaidi mkuu
Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.
Alirudi kusherekea chrisimac na mwaka mpya hapa kijiji rombo katika harakati za kuongea nae na kunionyesha jinsi wanavyosoma vyio vikuu kwa rahaa nikabaitika kuona test zake, cha kushangaza na kusikitisha moja ya test zake zenye alama za chini msahishaji alimwandikia kwa herufi kubwa Improve ur english nilishangaa sana na kujiuliza maswali mengi sana kichwani
wakuu mliopata bahati ya kusoma vyio vikuu hawa vijana wetu wanafanya nini mavioni
si bora waje huku mkuu rombo wanisaidie kilimo cha jembe la mkono
nawasilisha kwa masikitiko makubwa

hapo kwenye red ndio kuna POINT!!!!! mengine hayo ni ziada tu!Tanzania Kiingereza ni tatizo kutoka kwa mkulima mpaka kwa rais. While I acknowledge the need to improve his english, I am also looking at this in a national context.
Mtu kakulia mkoa huko, watu hata Kiswahili kwa tabu, wanaongea sana kilugha, akija mjini kwanza aanze kujifunza kiswahili vizuri (Mpaka leo Dr. Slaa - mtu ambaye angeweza na anaweza kuwa rais wetu- hajui Kiswahili vizuri, no dis intended, just to put this in context).
Halafu unaniambia unataka kutegemea kijana wa kutoka mkoa ajue Kiingereza sawia mara moja tu?
Mimi na kundi langu tulivyokuwa sekondari tulionekana mabishoo kwa kutaka kuongea Kiingereeza hata nje ya mazingira ya shule (O.K, Hip Hop na Umarekani vilichangia) ukichanganya na kusoma vitabu Tanganyika Library, British Council, American Library, CNN (CTN) Yo MTV Rap tapes, Newsweek, Ebony etc tukajikuta tunaongeza vocab na uwezo wa kuongea/ kuandika kiingereza. Lakini vijana wa mkoa wangapi wana access na vyote hivi?
Tusaidiane tu hivyo hivyo. I know some very sharp kids with English problems. It's not because they are not smart or are not trying enough. It is because Swahili is so powerful in our country.
Like anything, perfecting English requires practice. And the ubiquitous Swahili makes that difficult.
na wewe UDSM hukufundishwa kuongea na kuandika hata kiswahili!!! 'vyioni' ni mdudu gani???Aiseeee babayangu ni jambo la kuchekesha kama si kusikitisha, kijana wa nyumba ya jirani yetu hapa mkuu rombo amepata nafasi ya kufika chuo kimoja wapo kikuu ( jina nlifadhi kwa heshima) hapa tanzania.