Vijana wengi hampendi ualimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wengi hampendi ualimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Mar 21, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Vijana waliomaliza f4 mmefeli madai shule hazina walimu ama bora wapo,wewe mbona hutaki ualimu unafikiri watatoka wapi,kila mtu anawaza kwenda bank,sociology,n.k,kijana unatakiwa uangalie soko la ajira na muache mambo ya kuiga,usifate mkumbo,mdogo wangu alikua mbishi sana,kasoma Public admin na ps udsm anafundisha mbezi,angalia chain yenu,huna ndugu anafanya sehemu fulani jua uasugua jinsi kwa kusomea mambo ambayo ajira zake zinapatikana marekani na nauli kweni khaipo,iga ufe,asanteni
   
 2. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Hapo kaka umenena.
   
 3. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,143
  Likes Received: 1,711
  Trophy Points: 280
  Mazingira yakiwa bora ya ualimu mbona vijana tutakimbilia tu ,wengi hatupendi kuzilisha familia zetu kwa machale eti kisa
  ualimu ,tupiganie serikali iboreshe mazingira ya walimu ili tupate walimu wazuri zaidi
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Bora nikajishughulishe na kilimo kwanza kuliko kuwa ticha.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Abstainee...mheshimiwa umeongelea ualimu na walimu wa nchi gani,Tanzania ama Egypt?
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Abstainee...mheshimiwa umeongelea ualimu na walimu wa nchi gani,Tanzania ama Egypt?
   
 7. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  walimu wa Tanzania.me mara ya kwanza nilikua mbishi nikasoma politica science,huwezi amini nimeanza baed.acha fikra za kukariri mtoto wa mkulima wewe
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sa kama co uzezeta,kwa nin usisome masters tu kuliko kwenda kuanza upya hyo bachelor?
   
 9. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  cina uwezo wa kujisomesha masta,
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sawa bana,ila ungesoma hata postgraduate diploma.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hongera Mwl.
   
 12. paty

  paty JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ualimu ???//Big NO
   
 13. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ualimu kazi sana ila serikali haiwaajali dah!!
   
 14. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,744
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Soko la ajira ni dogo sana! Hata viongozi wa Serikali (mf. Makamu wa Raisi,n.k) wanashauri vijana wasome fani zenye uhakika wa kazi. AKILI ZA KUPEWA, CHANGANYA NA ZAKO....
   
 15. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Vijana tunapenda ualimu,mfana mwaka huu serikali imetuajiri 23 elfu,hapa rufiji tumekuja 66. Alafu pia,hebu pita mashuleni,haswa ya serikali % kubwa ni vijana.
   
 16. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Ni sawa lakini mfano mdogo wangu kasoma political science na hana kazi.kwa hiyo unatakiwa uchague kazi ukiwa na mtu wa kukutafutia kazi,
   
 17. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Asante sana kaka,mi mwenyewe nilishashtukia hlo.Nimeshaanza mchakato wa kuapply diploma ya ualimu na degree pia nafasi zikitoka naomba education programs tu! Mwaka jana nilijifunza,nilichagua mi programmes mingine na loan nikakosa nikabaki mtaani.
   
 18. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada amenena ukweli kabisa. Soka la ajira bongo lipo hovyo sana hupati ajira km huna mtu akupigie pande ama rushwa watu wana masters zao wako mitaani zaidi ya miaka na wanafamilia. Hata ajira ya ualimu imeanza kuwa hot cake kwa sasa wengi wanataka huko ila wanaopata ni wachache sana serikali haina pesa ya kuajiri wengi. Wewe soma chochote tu unachokijua wewe ukimaliza ukisota mtaana miaka hata kazi ya ufagizi barabarani utatamani maana ualimu uwezi pata tena. Vijana kuweni makini sana kwa sasa
   
 19. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Nikweli kaka mana usisome kitu ambacho ni jina na hakina manufaa na umri unaenda
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  inasikitisha sana kuona kijana anasoma ili aajiriwe. Jengeni utamaduni wa kujiajiri huko maofisini utapata hela ya kupanga nyumba na chakula tu
  just imagine mshahara wako ni 600,000/= per month, kwa mwaka total itakuwa ni 7.2m, nyumba ya kupanga 3m, chakula, ada ya mtoto, matumizi mengine.. woooo utajikuta una balance ya 1.2m kwa mwaka mzima, sasa hivi kujenga nyumba ya kawaida ya kama vyumba 3 inacost around 45m. Utafikisha lini 45m kwa kiukusanya 1.2 kila mwaka?

  jiajiri, jitume utajenga nyumba
   
Loading...