Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,237
- 9,871
inasikitisha sana kuona kijana anasoma ili aajiriwe. Jengeni utamaduni wa kujiajiri huko maofisini utapata hela ya kupanga nyumba na chakula tu
just imagine mshahara wako ni 600,000/= per month, kwa mwaka total itakuwa ni 7.2m, nyumba ya kupanga 3m, chakula, ada ya mtoto, matumizi mengine.. woooo utajikuta una balance ya 1.2m kwa mwaka mzima, sasa hivi kujenga nyumba ya kawaida ya kama vyumba 3 inacost around 45m. Utafikisha lini 45m kwa kiukusanya 1.2 kila mwaka?
jiajiri, jitume utajenga nyumba
LIKE!
Huo mshahara ulioutaja ni mkubwa,mishahara ya kuanzia kwenye sekta nyingi ni chini ya huo.