Vijana wazalendo kutembea kwa miguu kutoka Dar hadi Dodoma kumuunga mkono Rais Magufuli

Hivi hii ni serious au kinyume chake?
Watu kama nyie inabidi mkamatwe mtandikwe viboko,nyie ndio mnaoturudisha nyuma.

Halafu Max anateseka kupigania uhuru wa maoni na villaza kama nyie mkiwepo.
Yaambie hay yanskera sana..nataman yakiwa njian niyashushie radi na gharika kali yote yateketeee.. Mijtu mingne kama michawi.kumpongeza kwa lipi hasa?
 
Habari wana jamvi, mimi AUGUSTINO CHIWINGA nimeamua kwa pamoja na vijana wenzangu kufanya matembezi ya kizalendo kutoka jijini Dar Es Salaam, hadi mkoani Dodoma yalipo makao makuu ya nchi yetu kwa miguu ikiwa kama ni njia ya kumuunga mkono mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli, kutokana na hatua anazochukua kupambana na mafisadi na wala rushwa.

Tumeona katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameweza kufanya mambo mengi mazuri kama kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya kila mwezi, utoaji wa elimu bure, ufufuaji wa shirika la ndege la Air Tanzania, suala la madawati ununuzi wa vitanda vya wagonjwa muhimbili, utengenezaji wa mashine za CT-Scan na MRI pamoja na mambo mengine mengi.

Matembezi hayo ya kizalendo yanatarajiwa kufanyika mapema mwakani (2017) na kama wewe ni mzalendo unakaribishwa kuungana nasi kwa kuwasiliana kupitia namba 0756810804 au kupitia barua pepe (E-Mail) augustino162@gmail.com.
Karibuni katika matembezi ya kizalendo 2017.
We umelogwa sio bure....kumpongeza kwa lipi hasa?nafs zmejaa hata ujipendekez vp hupat cheo ng'oo. Mijitu mingne kama michawi vile
 
Njaa na ukata vinawasumbua
 
Kuna yale yaliokua yanafanyika kipindi cha kuazimisha siku ya baba wa taifa,yameishia wapi?
Walikua wakipokezana mkoa kwa mkoa.

Ila kama watafanya kwa uzalendo sio vibaya ila wasitengewe fungu kutoka kwenye kodi za walalahoi,wajitolee na waonyeshe uzalendo wa kweli.
 
We umelogwa sio bure....kumpongeza kwa lipi hasa?nafs zmejaa hata ujipendekez vp hupat cheo ng'oo. Mijitu mingne kama michawi vile
Wewe usimtukane huyo,watu wa namna hiyo wanapata ugari wanashiba,sisi huku mtaani wacha tuisome 1235127.maana tunanunua sembe kilo 1 kwa buku jero sasa.na kunawatu wanaendele kushangilia kama huyo bwana hapo.
 
Mimi ningekuwa ndio rais ningewaacha muandamane mkifika tu ningeliita baraza la mawaziri wakati wa kuwapokea tuwachalaze viboko vya kutosha ili MMuelewe tunaposema hapa kazi tunamaanisha kila mtu afanye kazi.tena ningeagiza kila mkoa mnaopita Kabla hamjafika Kwangu wakuu wa mikoa wawatie viboko pia.baada ya kuwacharaza viboko ningewakatia pori Mlilime kwa maendeleo yenu na vizazi vyenu.
 
Huja
kwani kwenye kampeni mwaka jana ulikuwa nje ya nchi au???

Umesahau walichokuwa wanasema akina Humphrey Polepole, mwigulu nchemba ma nape nnauye
jHujajibu swali. Kwa miaka mingapi tulikua tunaaminishwa mzee ni fisadi. Au unajifanya kusahau. Ukweli ni mchungu kamanda. Vumilia tu
 
Back
Top Bottom