Imekuaje Chid Benz ameachiwa bila kupelekwa mahakamani wakati alikamatwa na madawa ya kulevya?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Hii nchi ndio maana haiendelei.

Mambo ya ajabu ajabu ni mengi mno. Sheria hazifuatwi. Na kama zikifuatwa basi kuna double standard kubwa sana.

Sheria iko wazi kua ukikamatwa na madawa ya kulevya ni jela miaka 30. Na tumeona watu wengi wamekamatwa na magunia au misokoto ya bangi wako jela.

Chid Benz alikamatwa mkoani Dodoma akiwa na misokoto au kete za madawa ya kulevya aina ya cocaine na heroin, bangi pia lakini cha ajabu ameachiwa bila kupelekwa mahakamani na jela kwa ujumla.

Ina maana sheria za nchi hii zina macho kama risasi za hewani zinazopiga kona juu kwa juu, kwamba sheria zinachagua huyu afungwe huyu aachiwe.

Ilitakiwa iwe mfano kwa watoto na vijana wanaokua kua ukikamatwa na madawa ya kulevya huponi na mfano uwe high profile figures kama Chid Benz. Cha ajabu kaachiwa anakula good time mtaani akiendelea kubwia unga kama kawaida.

Chid hakua mtu wa kusamehe, hii sio mara ya kwanza wala ya pili, alitakiwa afungwe.

Kuna sababu nyingi zinasababisha nchi masikini kuendelea kua masikini, mojawapo ni hii ya kutoheshimu sheria na taratibu tulizojiwekea wenyewe. Waafrika hatuna displine kwenye kuheshim sheria.

Maendeleo tutaendelea kuyaona kwenye tv.
 
Wakati "amakamatwa" nayo ulikuwapo eneo la tukio??
 
Ukiwa Muuza Bangi Madawa Ya Kulevya Magendo Makubwa Halafu Ukakamatwa Eti Ufungwe Wewe Utakuwa Na Matatizo Siyo Bure Mara Nyingi Huwa Ni Mtandao Mkubwa Sana
 
Acha Atumie madawa Mpk akatapo amua kuwacha mwenyewe.....Tatizo wanamdekeza sana

Ova
 
wewe usimuone chid fala katika watu wenye siri kubwa duniani ni hao unaona wanadharauliwa kwa ugonjwa wao wa ulaji madawa ya kulevya wanamaumivu sana kwenye mioyo yao waache tu hao watu bure waombee mungu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom