Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,736
Sio chips tu vijana wanakuwa wachovu. Kuna punyeto, kuangalia x mara kwa mara, magonjwa kama kisukari na uti wa mgongo, mawazo, mara ya kwanza kuanza mapenzi n.k
unaonekana bingwa wa kukariri kijana, ninyi ndo mnaofaulu shule lakini mtaani mnapigika
mchungaji usiku huu upo kazini...??? kazi gani hiyo mkuu
Uko vizuri mchungaji chips sio rafiki kabisa na tatizo ni upikaji wake ni mafuta tu
da sure xna h ktu axa graduate
kwan ivi kipi kibaya ni zile chips au yale mayai???
Sio chips tu vijana wanakuwa wachovu. Kuna punyeto, kuangalia x mara kwa mara, magonjwa kama kisukari na uti wa mgongo, mawazo, mara ya kwanza kuanza mapenzi n.k
unaonekana bingwa wa kukariri kijana, ninyi ndo mnaofaulu shule lakini mtaani mnapigika
Huu uandishi wa kisera nn.y.a
Hahaha "mollis I surrender"[emoji85] [emoji85]Msosi mbwembwe tu kuna wanaume wavivu kula ila wanatia kama wanakulaga zege #isurrender
Msosi mbwembwe tu kuna wanaume wavivu kula ila wanatia kama wanakulaga zege #isurrender
Hahaha "mollis I surrender"[emoji85] [emoji85]