Naamans.kg
Senior Member
- Jan 28, 2013
- 124
- 17
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!
Wadada wenyewe kidigital zaid, wanapenda bata kwenda mbele....so beta stay alon
sio jukwaaa lake peleka kunakohusika utapewa majibu
Tatizo waolewaji ndio hawapo!
waolewaji mbona tupo wengi!
Yeah NAAMANS!tupo ila waoaji ndio tatizo,sijui wanakwepa majukumu?mmhh..acha bwana.!
Yeah NAAMANS!tupo ila waoaji ndio tatizo,sijui wanakwepa majukumu?
Mwenzangu tupo tumejaa tele hapa jamvini hatujui hata tutaolewa lini mwee!waolewaji mbona tupo wengi!
Mwenzangu tupo tumejaa tele hapa jamvini hatujui hata tutaolewa lini mwee!
kama ndama nnapata nikihitaji.......ngozi ipo.maziwa yakutosha...nyama kila kukicha hazikauki buchani...kwanini nifuge ng'ombe
kama ndama nnapata nikihitaji.......ngozi ipo.maziwa yakutosha...nyama kila kukicha hazikauki buchani...kwanini nifuge ng'ombe