JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,470
- 18,249
Hatuhitaji jeshi!wala makomandoo kama shwaziniga!Hello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.
Nimeipenda system ya Nigeria. Kijana akimaliza chuo anafanya Youth Service mwaka mmoja. Unaitumikia serikali kwa mwaka mmoja kwa minimum wage.
Unaweza kupelekwa kijijini au mjini kwenye rud down communities. Unatumia skills zako kusaidia community.
wanakaza nuts zilizolegea kichwani
Eleza unachokijua vingine viache, maana huna uzoefu nazo. Kakwambia nani kule kupasuliwa matofali kwenye kifua, yaani kuona video za mazoezi ndiyo unakuja kufungua uzi na kutuhumu moja kwa moja. Hayo mambo ya matofali si Lazima na huteuliwa wachache wanaotaka kufanya hivyo kwa hiyari zao, hakuna kipengele hiko kwenye mafunzo.Kwa nini mkuu?
Sijakataa kama ni kazi kama kazi zingine, kule vijana hawaendi kuajiriwa1. Inawezekana tena sana tuu..jeshi ni kazi kama kazi nyingine
Lengo la hizi operations sio kutafuta watu wakujiunga na jeshi lolote, kumbe ulikuwa huna taarifa sahihi unaonaona tu.2. Toa mshahara mzuri,utawapata watu wanaotaka kuwa wanajeshi,sio kwa vile ni wanajeshi ni wachache then wananchi tuwe na sisi wanajeshi….
Usiwe mbishi kitu kama hukijui3.Again,kiukweli sijawahi kusikia wananchi wakiwa trained ready for war...na sisi tumetohoa huko huko bila kuangalia kama lina manufaa…???...
Narudia tena usiwe mbishi kitu kama hukijui.mbinu za kivita zimebadilika ndugu, angalia hata ndege za kivita zimekua more sophisticated..na hata intelligence I believe nikichumbua itakua imebadilka
Huyu dada namshangaa sanaEleza unachokijua vingine viache, maana huna uzoefu nazo. Kakwambia nani kule kupasuliwa matofali kwenye kifua, yaani kuona video za mazoezi ndiyo unakuja kufungua uzi na kutuhumu moja kwa moja. Hayo mambo ya matofali si Lazima na huteuliwa wachache wanaotaka kufanya hivyo kwa hiyari zao, hakuna kipengele hiko kwenye mafunzo.
Mfumo wa JKT mara ya kwanza mtu akiingia ni mazoezi ya viungo na kwata kwa ajili ya kuwa na mwili imara, kisha anakuja kujifunza uzalishaji. Anafanya shughuli na analipwa kila mwezi akiwa kambini, ndipo anakuja kujifunza mafunzo ya kijeshi.
Watu wanaingia darasani kufundishwa silaha na sifa zake na pia ushikaji wa bunduki. Wanakuja kulenga shabaha baadaye, kisha wanaingia mafunzo ya vitani porini. Huko kote mazoezi ya viungo ya awali ndiyo yanawaweka vyema, kama mtu aliyafanya.
Mtu akitoka kule ana ujuzi wa aina mbalimbali ikiwemo kilimo, uhifadhi mazao vitu ambavyo wengi hawakuvifanya na wala kuvijua. Mhitimu wa mafunzo yale kama alizingatia, umpe shamba unaweza kuona matokeo yake, tena hakulipia kujifunza kuliko huko kwenda kupoteza pesa kujifunza miezi mitatu kwa kozi zisizo na manufaa mjini hivi sasa
Mbali na hapo ana ujuzi wa mafunzo ya medani ya vita, ikitokea siku kakutwa na baya na yupo karibu na silaha anaweza kujitetea.
Yaani mtu yote hayo anafunzwa bure, analishwa bure na bado analipwa posho kwa shughuli anazozifanya ndani ya kambi
Ndio bahati mbaya kaanzisha uzi halafu ajui JKT niniKwa Taarifa yako kuna nchi duniani wafanyakazi wake wote wamepitia jeshini,Elimu ya jeshi sio kwa ajili ya vita tuu!
Ndio bahati mbaya kaanzisha uzi halafu ajui JKT niniKwa Taarifa yako kuna nchi duniani wafanyakazi wake wote wamepitia jeshini,Elimu ya jeshi sio kwa ajili ya vita tuu!
kwa hiyo akili za vijana zinaamshwa kwa kupasuliwa matofali kichwani? wazungu ni wadhaifu kimwili, kinachowafanya wawe juu yetu ni akili, techologia waliyonayo, tatizo vijana wanaohitimu jkt hawana ujuzi wowote wa maana wanaoutumia kujiajiri zaidi ya kulilia kazi majeshini,Lazima vijana wafundishwa ukakamavu na uzalendo. Taifa halina uzalendo kabisa, siasa zinaingizwa kwa vijana toka wakiwa tumboni, matokeo yake tunakuwa na taifa la ajabu sana, kwenda kuruta ni muhimu kwa vijana.
Kwa lifestyle ya sasa, vijana wanazidi kuwa legevu, its a world of smartphone, technology etc. Ni lazima akili ziamshwe vijana wawe active, to me it's very important vijana waende jeshini. Bahati mbaya miaka yetu hatukupata nafasi ya kwenda jeshi, but I like it.
ndio hapo inabidi wahitimu wachunguzwe wamefanikiwa kiasi gani kujiajiri na kiwango chao cha uzalendo kikoje,Jkt kwenda kupotezewa muda tu faida gani inapatikana tangu waanze kwenda?
Wewe sema tu hauna sababu ya msingi ya kuwazuia vijana kutokwenda jkt kama ni ishu ya computer semister ya kwanza tu chuo lazima usome computer application.
Ishu ya kwenda english course sio ishu kama umeshindwa kukimanya kingereza kwa miaka 14 ya kukaa darasani ndio utaweza kukimanya ndani ya miezi 3 kweli?
Waache vijana wakapate new exposure huko, kuna watoto wa mama hawajui hata kulima bustani ya mboga mboga
Hatuhitaji jeshi!wala makomandoo kama shwaziniga!
Ur fucking kiding! Tell me ur not serious!
Uwepo wao,ndio unakufanya uone nchi INA amani,na kwamba haiitaji jeshi,.
Maadui wapo kibao,kila kona,toa jeshi uone,watakavyotuvuruga.
Angalia DRC,inavyofanywa shamba la bibi na Rwanda.
Huna adabu wewe na umevimbiwa amani unaona sio lazima kuwaandaa vijana wazalendo. Waulize wazee wenzangu wakati wa vita ya kagera ndio ujue umuhimu wa vijana kufundishwa utayari. Unataka vijana wote wawe so called '' wanaume wa daresalam?" ikitokea vita si wote wanakimbilia kujificha? uzalendo!!!uzalendo!!!! uzalendoHello JF,