Mbona wenyewe kiswahili wanachapia kwa hiyo english si lugha yetu mama wengi wanajifunzia juu juu mtu anafika hadi anamaliza chuo hawezi kupresent kabisa nakuonhgea english hata kidogoHello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.
Mbona wenyewe kiswahili wanachapia kwa hiyo english si lugha yetu mama wengi wanajifunzia juu juu mtu anafika hadi anamaliza chuo hawezi kupresent kabisa nakuonhgea english hata kidogo
Kingine niseme kama unataka watu wafahamu English basi waanzie utotoni kabisa shule msingi ndio watatoboa vizuri
Kuhisu JKT nikupoteza muda tu
Sioni wakenya wakifanga huuujinga
JKT is just a wastage of time
Kweli kabisa mnapinga jkt. Kumbe inatakiwa serikali yetu kupitia msemaji wa jeshi atoe maelezo ya kina juu ya faida ya kujiunga na JKT, kwani nimepitia comments za watu hapa karibia wote wanapinga national service.Mbona wenyewe kiswahili wanachapia kwa hiyo english si lugha yetu mama wengi wanajifunzia juu juu mtu anafika hadi anamaliza chuo hawezi kupresent kabisa nakuonhgea english hata kidogo
Kingine niseme kama unataka watu wafahamu English basi waanzie utotoni kabisa shule msingi ndio watatoboa vizuri
Kuhisu JKT nikupoteza muda tu
Sioni wakenya wakifanga huuujinga
JKT is just a wastage of time
Kweli kabisa mnapinga jkt. Kumbe inatakiwa serikali yetu kupitia msemaji wa jeshi atoe maelezo ya kina juu ya faida ya kujiunga na JKT, kwani nimepitia comments za watu hapa karibia wote wanapinga national service.
Huoni faida yake seriously?
Huu ni mfumo ulioko hata Israeli na ndiko tulikokopi.
.
Faida zake sasa nakupa
1. Wao ni jeshi la akiba
Kikinuka lazima waitwe wakapambanie Taifa lao, wakati wa vita ya Kagera vijana walikuwa hawana ABC kabisa ilibidi kuanza kufundishwa.
.
Nakuibia siri walidanja wengi sana wakati wa vita na waliobahatika kubaki ndio wengi wao wanastaafu miaka hii waliingizwa Magereza, Polisi na hata JWTZ
.
2. Wao ni jeshi la wokovu.
Usiombe ukapigwa na jeshi la wokovu ni mara mia uwe detained kwenye kambi za BOKO HARAM kuliko kupigwa na jeshi la wokovu.
3. Tumepunguza gharama na muda wa kuwafunza kikinuka.
Hawa vijana tunawaita service man (SM) tumeshawatoa kwenye ukuruta sasa kikinuka ni mafunzo kidogo tu ambayo hawakupatiwa watayapata ya medani za vita over
.
Sasa hivi wanazo mbinu ndogondogo tu
4. Na mwisho Nidhamu.
Hii kitu ndio ya msingi sana vijana wanaondoka nayo huko waendako wawe na nidhamu ya kila kitu hata kula vilivyo katikati ya miguu.
Sasa inakuwaje mtu amalize elimu ya kidato cha sita kisha uanze kumfundisha tena yale yale, kama ni suala la computer course wengi wamesoma tangu elimu ya msingi mpaka sekondari, pia hizo communication skills wataenda kufundishwa chuoni huko.Hello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.
Ujinga haswami niliona ni ujinga kwenda kuteswa kwa kigezo eti unafundishwa uzalendo
HaiwezekaniMkuu ujeshi ni kazi kama nyingine,waende wanaotaka kuwa wanajeshi……
Wanajeshi ni wachache sana, mbinu za kivita hazijawahi kubadilika kinachobadilika ni intelligence.Kusema watu watahitaji mafunzo kidogo kukitokea vita si kweli,mbinu za vita zinabadilika kila leo,na ndio maana ukiupata ujeshi unafundishwa na kupractise kila baada ya muda....kukuweka fit ...vita ikitokea ni kazi ya wanajeshi walioapa kutulinda na wanalipwa kwa kodi zetu
Hapa ungeuliza kabla ya kuandika nilikutajia hadi nchi ambayo tumetohoa mfumo wao.Honestly speaking, sijaona Nchi ambayo kujikinga na vita inawatrain wananchi wake kupitia Jeshi..hata zile nchi zinazopigana mara kwa mara...
Nidhamu ni swala la malezi tu nyumbani utokako