Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Hello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.