Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

mnatakiwa mumpe na sababu kwanini bora ajiajiri? ili aweze kuelewa somo vizuri
 
kama umezoea kusimamiwa KUAJIRIWA ni vyena ila ka umezoea kujisimamia mwenyewe pasipo kusukumwa na unajitihada kujiajiri ni vyema
 
Ivi wakuu kwa usawa huu ni bora kuajiriwa au kujiariri
Ni wewe tu uamuzi wako. Kijiajiri na kuajiriwa kila kimoja kina faida zake na changamoto zake pia. Pia kumbuka siyo kila mtu anaweza kujiajiri na si kila mtu anaweza kuajiriwa. INATEGEMEA NA HALMASHAURI YA KICHWA CHAKO INAPENDA NA INAWEZA KUFANYA LIPI KATI YA HAYO MAWILI.
 
Inategemea unajiajiri kwenye nn na level gani na unaajiriwa kwenye nini na kwa level gani
 
Being entrepreneur sucks.

Don't listen the hype of the media.

I'm online business owner and I work 90 hours a week.

When you are business owner it means you have invested years + money.

And you know what?

There is no guarantee.

You may fail miserably.

Kwahiyo hapo unatakiwa kujifunza if you are going to fail, fail faster.

Utaokoa muda na pesa.

Ok,

Huo niupande mmoja tu wa shilingi.

Upo pia upande wa pili.

Biashara inaweza kukufikisha point unakuwa financially independent.

Na hapo ndipo unatambua you no longer need to worry about money.

Yes if your net worth or business is valued at $10 +

Maana yake wewe ni multimillionaire.

Kwahiyo kukujibu swali lako.

Ni bora ku-take risk nakuanzisha biashara yako.

You never know. You could make millions.

You need to take a leap of faith.

Pia kama unataka tuongee zaidi kuhusu ideas around business & entrepreneurship (hususani online business) drop me a pm.
 
Ni wewe tu uamuzi wako. Kijiajiri na kuajiriwa kila kimoja kina faida zake na changamoto zake pia. Pia kumbuka siyo kila mtu anaweza kujiajiri na si kila mtu anaweza kuajiriwa. INATEGEMEA NA HALMASHAURI YA KICHWA CHAKO INAPENDA NA INAWEZA KUFANYA LIPI KATI YA HAYO MAWILI.
Sante mkuu
 
Appreciate
Being entrepreneur sucks.

Don't listen the hype of the media.

I'm online business owner and I work 90 hours a week.

When you are business owner it means you have invested years + money.

And you know what?

There is no guarantee.

You may fail miserably.

Kwahiyo hapo unatakiwa kujifunza if you are going to fail, fail faster.

Utaokoa muda na pesa.

Ok,

Huo niupande mmoja tu wa shilingi.

Upo pia upande wa pili.

Biashara inaweza kukufikisha point unakuwa financially independent.

Na hapo ndipo unatambua you no longer need to worry about money.

Yes if your net worth or business is valued at $10 +

Maana yake wewe ni multimillionaire.

Kwahiyo kukujibu swali lako.

Ni bora ku-take risk nakuanzisha biashara yako.

You never know. You could make millions.

You need to take a leap of faith.

Pia kama unataka tuongee zaidi kuhusu ideas around business & entrepreneurship (hususani online business) drop me a pm.
 
Inatakiwa uajiriwe kutafta mtaji kama huna mtaji but kujiajiri ni bora zaidi ila kwa wavivu bora uajiriwe coz kujiajiri utafanya kazi Mara mbili ya kuajiriwa, NB; kuna ajira zina maslahi kuliko kujiajiri so kaz kwako kuamua nn bora
 
Back
Top Bottom