jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
Kuacha kazi ni moja ya maamuzi màgumu ambayo yanahitaji ujasiri ña mentally preparation. Huhitaji kuwa na kiasi fulani cha pesa ili uache kazi ila unahitaji malengo,kwanini naacha kazi?unataka kufika wapi baada ya muda fulani?unataka uwe una earn kiasi gani cha pesa per month?Hàyo ni baadhi ya maswali yanayoweza kukuongoza kuchora ideas.Mwanafalsa John luis Bragos anasema"if you want to think more creative,you must challenge the boundary".Ukiwa unajiandaa kuacha kazi lazima ubadili mfumo mzima wa maisha wakati mwingine hata marafiki(mates)wako ili kuweza kufikiri out side of the room.A real estate investor Sir Donald Trump said"You have to think anyway,so why don't think big"Lazima uwe na malengo yako ya muda mrefu na uchore mpango kazi namna ya kuyatimiza hayo malengo.
Ukiongozwa na msukumo wa ndani na ukajifunza kwa waliofanya wakafanikiwa(mentor) naamini itakupa mwanga mkubwa sana katika safari Yoko.Note usiombe ushauri kwa wafanyakazi wenzako watakukatisha tamaa na kukutia woga.
Binafsi ni mwajiriwa but nimeweka malengo kuwa ikifika 2025 nataka kuacha kazi kwani nimeajiriwa 2015.Kwa kuwa safari yeyote inahitaji maandalizi nilishaanza kujiandaa since day one naingia kazini.Nasoma vitabu kwa wingi kuongeza maarifa lakini natafuta taarifa kwa hali na mali lakini pia nimeanzisha project ambazo zinanisaidia kuniongezea uzoefu katika kujiajiri.
My take.Failure is party of process of success
Mkuu katika point uliyoongea ni hiyo kwamba huhitaji kuwa na pesa kiasi kadhaa ili uache kazi No
Yaani kama utakauwa upo katika ajira na unataka uhifadhi 10M ndo uache kazi utaendelea kuwaza hivyo hivyo mpaka una-staafu halafu ndo unaanza zile ninge
Kuna watu wengi sana makazini kila siku wanasema ntaacha kazi ntaacha kazi lakini tayari ana 40 years
Ni hivi you wanna quit your motherfuckin' do it right now at the moment
By december nakwenda kuacha kazi yeaaah naacha kazi na kusimamia project zangu za kilimo nilichoanza mwaka huu mwanzoni
Naacha ikasimamie kule kwa sababu naweza kutengeneza hata 10 M kila baada ya miezi mitatu
Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence
Unataka kuacha kazi Do it now kinachowezekana leo kisingoje kesho