Vijana wanatapeliwa sana mitandaoni

Mkuu ni kweli unachozungumza!
 
Hii tabia sio mtandaoni pia hta kwenye jamii yetu pia ipo. Unamuomba demu # anakupa vizuri 2. Kabla hujamtongoza unaona anakutafta kwa kasi ukiingia 2 line. Kibomu. Yani mimi imenitokea sana mi demu aneyepiga bomu ndyo inakuaga ni mwisho wangu kumtafta. Yani jana 2 nimepigwa kibomu. Et anaanza... hey mbona unanihaidi kila siku kuja ntembelea hata huji? Nikamjibu ninamajukumu mengi ya kazi... oooh sawa.. ona naomba unirushie 10000 mpesa ninashida! Kimoyomoyo nikajibu... wewe mpumbavu kweli umeona mimi wakala wa mpesa.. ila nikamjibu sina balance mpesa nitaweka kesho nikutumie. Sasa iyo jana kapiga katuma message mpaka jioni hii nimebunda 2.
 
Enyi marafiki zangu wote mliopo PM na mimi. Naombeni 50,000 each of you! Huu sio utapeli..maana nimeweka hadharani.


Hahahahaaa, Ndo uweke na namba yako hadharani na sisi tusiokuwa marafiki zako PM tukutumie pia. Tatty na mimi pia nataka kuwa rafiki yako wa PM.
 
Hahahahaaa, Ndo uweke na namba yako hadharani na sisi tusiokuwa marafiki zako PM tukutumie pia. Tatty na mimi pia nataka kuwa rafiki yako wa PM.
Njoo pm ukiwa umejipanga...namba utaikuta huko huko.
 
Kwanini alijiua?
Hakujiua, alikuwa anaamini kuwa huyo mwanamke anania ya kwenda alipo yeye so jamaa anatuma nauli siku yasafari ikifika mtoto wakike utasikia kulinyesha mvua kubwa sana hivyo nimechelewa kwenda standa, mara nimepigiwa simu sijui flani anaumwa amekazwa yani hapa ninechanganyikiwa, aliponieleza nikamwambia tu ukweli huyo manzi anakuzingua. Tena manzi mwenyewe wa fb.
 
Ila wanaume na nyie mmezidi ukarimu wenu
 
Yaaani nishida..hi tabia ipo sana tu ishawahi nikuta hii kitu ila nilimzngua mwenyew akasanda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…