Mkuu ulemtandao bana pipo zilikuwa bado ni nyumbu, walikuwa hawaja janjaruka saaanaa. Halafu ilikuwa ni Arusha, Dar, mbeya ndio pipo wengi walikuwa humo. Hicho kipindi nilipiga mitama sana hii jinsi ya kike.Dah...the grid alinipatia msupu wa kiarabu...Zeyana upo wapi mamaa...mkuu umenikumbusha mbali
Ni hatari sana. Halafu ukiona avatar inavutia, uwe makini. Mkitupiana picha za ukweli itabidi tu uwe gentleman, usifie na kusema maneno matamu, lakini uhalisia wake ni hakuna. Lakini hayo mashauzi sasa...Vijana wa mtandaoni, hasa JF tuko thirsty hatari. Mtu anapagawa tu na avatar, dah!
Hahaha Mkuu sipati picha wakati unamfikiria kumbe kiazi tu.Ni hatari sana. Halafu ukiona avatar inavutia, uwe makini. Mkitupiana picha za ukweli itabidi tu uwe gentleman, usifie na kusema maneno matamu, lakini uhalisia wake ni hakuna. Lakini hayo mashauzi sasa...
Hii kitu ya pm, hata kama ni kwa urafiki wa "kalamu" tu, nimeacha. Kuna kiazi kimoja hicho, if I ever laid my hand on her....dah! Sijawahi kuchat na kiazi kama kile asee.
Ata 150 ya kifurushi cha msg situmi ng'o. Unaweza kukuta ni lijamaa lenye midevu linajiita Evelyn SaltUnatupigia kelele tumepumzika, mi nkajua ushatuma hata hela kumbe hola, sasa we huwa unachat nao wa nini? Hebu naomba elf 20 hapo kama ipo karibu
huyo msupu alikuwa anakaa mkoa upi?manake umenistua kuhusu mtu wa aina hiyoDah...the grid alinipatia msupu wa kiarabu...Zeyana upo wapi mamaa...mkuu umenikumbusha mbali
Hujaelewa kiongozi, nilipoona comment ya paulo ndio nikakumbuka. Kiazi ni kiazi tu, kiwe mbatata au kitamu, kilinitia hasira balaa.Hahaha Mkuu sipati picha wakati unamfikiria kumbe kiazi tu.
Sasa nani Kakuambia mie mwanamke? Nitake radhi.....Ata 150 ya kifurushi cha msg situmi ng'o. Unaweza kukuta ni lijamaa lenye midevu linajiita Evelyn Salt
Ndo maana nimekustukiaSasa nani Kakuambia mie mwanamke? Nitake radhi.....
Dah pole aisee ila ulimuweza unaweza kukuta alikuwa hapa hapa DarMimj nilksha kutana nao kama mara tatu. Yaani wadada wa design hiyo kila siku hupost picha za kuwatega wanaume. Na hata siku moja hapost picha akiwa na mtu mwingine au kushare picha za mtu. Kila siku ni picha zile za mitego.Na huwa na account zaidi ya moja. Account yenye jina lake halisi ambayo hutumia kwa ndugu na jamaa, na account yenye jina fake ambayo hutymia kwa kazi hii ya utapeli.
Kuna mmoja alinisumbua sana sana...nikaamua kumtumia 30, akashukuru. Baada ya muda akaniambia anaona mimi ni mtu mwema kama si maindi aje Dar anitembelee maana yuko kigoma. Akaomba nimtumie nauli. Nikamwambia nitamtumia. Badaye nikamwambia nitakukatia ticket huku huku, akakataa akasema nimtumie hela akate mwenyewe. Nikiwa nimesha ufaham mchezo wote nikafanya booking ya ndege nikamtumia nikimwambia ni ticket. Lakini nilikuwa sijailipia. Dah alivyoona nimekata ticket badala ya kutuma pesa aka ni block na mchezo ukaishia hapo.
Huu mcehezo sasa alichezewa jamaa yangu yupo kigoma nae ameijua juzi juzi tu hii mitandao kalizwa mara mbili na dem anadai yupo moro. Kila akituma nauli dem anatafuta sababu.Mimj nilksha kutana nao kama mara tatu. Yaani wadada wa design hiyo kila siku hupost picha za kuwatega wanaume. Na hata siku moja hapost picha akiwa na mtu mwingine au kushare picha za mtu. Kila siku ni picha zile za mitego.Na huwa na account zaidi ya moja. Account yenye jina lake halisi ambayo hutumia kwa ndugu na jamaa, na account yenye jina fake ambayo hutymia kwa kazi hii ya utapeli.
Kuna mmoja alinisumbua sana sana...nikaamua kumtumia 30, akashukuru. Baada ya muda akaniambia anaona mimi ni mtu mwema kama si maindi aje Dar anitembelee maana yuko kigoma. Akaomba nimtumie nauli. Nikamwambia nitamtumia. Badaye nikamwambia nitakukatia ticket huku huku, akakataa akasema nimtumie hela akate mwenyewe. Nikiwa nimesha ufaham mchezo wote nikafanya booking ya ndege nikamtumia nikimwambia ni ticket. Lakini nilikuwa sijailipia. Dah alivyoona nimekata ticket badala ya kutuma pesa aka ni block na mchezo ukaishia hapo.
Ni hatari sana. Halafu ukiona avatar inavutia, uwe makini. Mkitupiana picha za ukweli itabidi tu uwe gentleman, usifie na kusema maneno matamu, lakini uhalisia wake ni hakuna. Lakini hayo mashauzi sasa...
Hii kitu ya pm, hata kama ni kwa urafiki wa "kalamu" tu, nimeacha. Kuna kiazi kimoja hicho, if I ever laid my hand on her....dah! Sijawahi kuchat na kiazi kama kile asee.
Hahahaha ulimuweza kwa kweliMimj nilksha kutana nao kama mara tatu. Yaani wadada wa design hiyo kila siku hupost picha za kuwatega wanaume. Na hata siku moja hapost picha akiwa na mtu mwingine au kushare picha za mtu. Kila siku ni picha zile za mitego.Na huwa na account zaidi ya moja. Account yenye jina lake halisi ambayo hutumia kwa ndugu na jamaa, na account yenye jina fake ambayo hutymia kwa kazi hii ya utapeli.
Kuna mmoja alinisumbua sana sana...nikaamua kumtumia 30, akashukuru. Baada ya muda akaniambia anaona mimi ni mtu mwema kama si maindi aje Dar anitembelee maana yuko kigoma. Akaomba nimtumie nauli. Nikamwambia nitamtumia. Badaye nikamwambia nitakukatia ticket huku huku, akakataa akasema nimtumie hela akate mwenyewe. Nikiwa nimesha ufaham mchezo wote nikafanya booking ya ndege nikamtumia nikimwambia ni ticket. Lakini nilikuwa sijailipia. Dah alivyoona nimekata ticket badala ya kutuma pesa aka ni block na mchezo ukaishia hapo.
Kwanini alijiua?Huu mcehezo sasa alichezewa jamaa yangu yupo kigoma nae ameijua juzi juzi tu hii mitandao kalizwa mara mbili na dem anadai yupo moro. Kila akituma nauli dem anatafuta sababu.
Ndio nikamzindua kutoka usingizini.