Vijana waliooa wanakwaza sana

You will never walk alone💯💯
Kila mtu ana plan yake ya kuoa pale akifikisha umri flani kuoa sio sifa ila kuwa na ela alaf mdogo ndio mahala pake kitaalam tunaita "Molodoilide Oh! My""
 
Tuna hofu na madogo zetu maana dunia imeharibika...kijana umri unaruhusu kipato kinaruhusu halafu huon nn shida...hofu yetu msije mkawa mnaliwa
 
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika.
Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).

Sasa bwana kwenye hii likizo Kuna jambo linatokea halafu linanikera sanaaaa tena hasaaaa.
Tumekubaliana kuoa ni kosa la kudumu, wanaoa wengi wanao ex-wives za watu au continuing wives wa wengine, imagine mi namkula shanta shanta mbunyende mbunyenda kwa miaka mitatu videmu vya mipango vinahamia ghetto nakula kinapika kinafua kinapasi kinafanya kila kitu miaka mitatu mafisi ufufu yanaoa , na ukioa naendelea kuwatafuna ole wako uyumbe kiuchumi au usiwe na vybes tarajiwa ndio basi utakuwa bed keeper mchana sie twacheza na yamutombo na yakuyamba.

Oeni bikra ila sio hawa wajukuu wa matonya wagogo wa ubatizo wa hiari.

Kila mtu ashinde mechi zake zingatieni kuna cha mwamposa.!!
 
Wanakuuliza hivyo makusudi tu kwani wanataka kujua ukweli wako. usikute wanakuwinda ili wakukamate na wake zao wakugeuzie kibano. Mjini hapa.
 
Likizo umeenda kwa shangazi halafu unaulizwa kuoa. Maliza shule dogo
Braza Shule iliisha tokea 2018.
Si mbaya likizo UKAENDA KUSALIMIA NYUMBANI...!!!
Back to the roots to say hi.

#YNWA
 
Nami nna jamaa yangu ana akili za kijinga kama za mleta mada mda wote mkiongea utasikia madili sijui nn
Unataka muda wotee aongelee ndoa ndio awe na akili na asiwe mjinga?

#YNWA
 
Bila shaka ww umri umepita wa kuoa lakini unaogopa kutongoza,ndio maswali yanarudia rudia. Unaogopa nini?
 
Na wewe punguza mambo ya kiwaki, huoni unaboa unapoanzisha thread za aina moja kila siku?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ana tatizo na nguvu za kiume, haisimami[emoji848][emoji848]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…