God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
......
kwa nini vijana wadogo kuanzia miaka 17 hadi 25 wanadata sana na majimama kuanzia miaka 30 hadi hamsini?
kulikoni jaman hii hali imeniacha katika sintofahamu?
Ngoja nije.Mapene alafu tuna watunza
Miaka Chini Ya 20 Thread Nyingine Miaka 30 Mpaka 50 Thread Nyingine,,,,,,i Think Im In LoveMapene alafu tuna watunza
MmmhMapene alafu tuna watunza
ha ha haMbegu za Kiume za hao Vijana wa kati ya miaka 17 hadi 25 huwa zinawatekenya na kuwafanya wajione kama vile wako " Paris " wakila raha ila Mbegu za Kiume za Mijibaba ya kati ya miaka 45 hadi mwisho wa namba huwafanya " kushurutika " tu pasipo mpango.