Daa poleni sana kwa wale walio toa taarifa kwa marafik,jamaa,ndugu na Makazini kuwa wanakwenda chuo mwaka wa masomo 2015/16,
Alafu nafasi znazngua za chuo hahaha!! wkt wengne wanadai hata WAKIKATWA watakwenda tu kurpoti chuo sa cjui Itakuwaje?? vp ww umepata??