ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,242
- 1,736
ukiona imekutouch,leave me alone.
We topic zako hapa jamvini daily z kitoto toto hlf unajibu ovyo!! miaka yako plz?
ukiona imekutouch,leave me alone.
tena kwa kuongezea choo na bafu vipo nje na hapo kibarazan kuna wale wamama wambeya wamekaa wanapiga soga mtaendaje kuoga au kunawa?ha h aha ,,,unajinyunyizia unyunyu kuoga kwenuuuuuuuwatu wako bize, chumba chenyewe wameomba, nyumba yenyewe ya kupanga wataoga wapi, acha zako hizo