Vijana wa kitambo chetu

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
57,889
Reaction score
165,866
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January kwa sasa tunatimiza miaka 40 na wale wa mwishoni 86 🤔

Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo, ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto ya kipara na kitambi 🤔

Kwa uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
 
Si muda utaanza kufahamika kama babu/mzee.Uwe unaitikia kwa furaha tu.
 
Kipindi Niko mdogo nikitaka kuelezea changamoto zangu huwa namfuata mzee chumbani kwake, basi Kila nikigonga hodi Sijawahi kumkuta mzee amelala, sometimes namgongea asubuhi kabisa lakini bado alikuwa macho, baada ya kukua na Mimi ndio nimeelewa sasa kwanini huwa usingizi unakata hata mwezi hujaupata, shida ndogondogo Huna lakini basi Tu usingizi haupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…