Vijana wa Kiafrika na kutojishughulisha

Vijana wa Kiafrika na kutojishughulisha

Minding your own business alafu unakuja kuniomba pesa ya chai really....naelewa kwamba I should mind my own business...lakini ukifanya hivyo hao watu watazidi kunisumbua kuja kuomba pesa ya chai kutokana na upuuz wao wenyewe....hivyo dawa ni kuwaambia ukweli ili wajitafutie wenyewe pesa ya chai.........after that maybe....
 
sidhani kama nilitoa mfano wowote ule........pia kwa umri niliouweka pale..bila shaka huyo kijana atakua anajitambua hivyo anatambua zuri na baya......ila kama hajitambui yes....ni sahihi kuiga huo mfano ulioufikiria wewe ambao mimi sikuuweka...
sasa kwanini mambo yao mazuri kwako ni mabaya mkuu?

nimesema ivo kwasababu kila mtu anafanya jambo linalompendeza yeye sasa kwanini unataka wafanye yatayokupendeza wewe?

mfano"
hutaki wasikilize mziki
hutaki waamke wakae
hutaki wakae vijiweni
hutaki washabikie mpira

umesahau kuwa haya mambo wanfanya kwasababu ni mazuri kwao nasi kwako!
 
sasa kwanini mambo yao mazuri kwako ni mabaya mkuu?

nimesema ivo kwasababu kila mtu anafanya jambo linalompendeza yeye sasa kwanini unataka wafanye yatayokupendeza wewe?

mfano"
hutaki wasikilize mziki
hutaki waamke wakae
hutaki wakae vijiweni
hutaki washabikie mpira

umesahau kuwa haya mambo wanfanya kwasababu ni mazuri kwao nasi kwako!
....kwa mtazamo huo...hao lazima watakua hawajielewi na kutokujielewa ndio chanzo cha kuona mambo katika mtazamo ulio tofauti na uhalisia na hii inapelekea kizazi kizima kuwa na mtazamo ambao matunda yake ni umaskini na matatizo mengine mengi.....hivyo ni sahihi kuwarekebisha kwani matatizo hayo yanayotokana na wao humuathiri kila mtu....
 
Wewe wapotezee tu..
Maana kila mtu ana ramani zake uenda zao hazijatiki.
Kama hauna USIMPE
Minding your own business alafu unakuja kuniomba pesa ya chai really....naelewa kwamba I should mind my own business...lakini ukifanya hivyo hao watu watazidi kunisumbua kuja kuomba pesa ya chai kutokana na upuuz wao wenyewe....hivyo dawa ni kuwaambia ukweli ili wajitafutie wenyewe pesa ya chai.........after that maybe....

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
As much as napenda kuwatupia lawama hawa madogo kwa hali waliyonayo but nasita kwasababu nikitazama mfumo wa uchumi na shughuli zake, pamoja na mipango ya serikali pia mitazamo ya kiuchumi na kisiasa ya jamii then nasema hawa madogo kuwa hivyo ni kutokana na mazingira.

Hawa hawa madogo ukawachukua ukawapeleka taifa kama Finland, Sweden etc, hautaamini namna watakuwa wanapiga kazi na kuwa productive.....

Ni aibu kubwa sana kwa serikali kuwa na idadi kubwa ya vijana wasomi ambao hawapo katika maeneo ya kazi sababu serikali kama serikali wamefeli kufufua mipango ya kujenga taasisi zitakazo zalisha ajira.

Kwamfano, shirika la ndege tu hapo wakisema washushe bei za nauli ziwe sawa na zile za fastjet kipindi kile.... Na zikaongezwa ndege mpya 10 imagine ni kiasi gani cha ajira kita tengenezwa....... Kuanzia watu wa ticketing, wahudumu wa denge, maofisa wa biashara na masoko, makarani, mafundi na wengineo.....

Serikali ikiingia ubia na sekta binafsi tukaanzisha kampuni ya uvivu wa maji ya kina kirefu......

Hebu imagine idadi ya ajira zitatengenezwa hapo..... Kuanzia maakuli, wale wafanyakazi wa meli ya uvuvi, viwanda vya kuprocess hao samaki, kampuni zitakazo kuwa zinafanya manunuzi na mauzo ya samaki nje na ndani ya nchi, maofisa wa mauzo na masoko, makarani, wahasibu, watu wa store na bohari, makaptaini etc imagine idadi ya ajira hapo.

Tuje reli. Shirika la usafiri wa reli linawezekana kubadilishwa kutoka hali ya ukuu kuu iliyopo sasa utadhani shirika la kubeba taka hadi kuwa shirika la kisasa lenye ofisi kama za viwanja vya ndege, clean premises, mabehewa ya kisasa yenye internet, siti zenye Video screen zenye movie mbali mbali, usb port, Ac na ViP sections za kisasa Very comfortable kusafiri kuliko hata kupanda basi. Serikali iwape hisa hawa wapuuzi wa mabasi ya mikoani wawe na hisa kwenye shirika la reli wameliki mabehewa na kuboresha huduma za ndani ziwe very unique.

Nazungumzia first class railway services. Serikali iweke vikwazo vya kibiashara kwa wamiliki wa mabasi kwanye baadhi ya route ili kuwe na mabasi machache na watu watumie sana ndege na train kwenye kusafiri..... Hapa nakuhakikishia kuanzia wahudumu wa ndani ya mabehewa, utingo, watu wa IT, wahasibu, tenda za vyakula katika hayo mabehewa, attendants kwenye stationz mikoa yote, wahasibu, makarani, watu wa sales na marketing, ticketing na bookings, wafanya usafi, mechanics, maengineer wa reli na miundo mbinu ya huduma hii etc.....

Haya majiji yanahitajika kutengenezewa gardening na kuwekwa safi, serikali ikatoa tenda kwa kampuni nyingi, zipewe maeneo mbali mbali mbali kusimamia usafi wa jiji na kulipendezesha kisasa zaidi........

Kwa hali ya sasa tunatakiwa kuwa na city surveillance system ya kamera yaani security cameras katika kila kota ya mji ikionyesha na kumonitor maisha ya raia..... Hii ni tenda kubwa sana kwa kampuni binafsi zaidi ya moja kama ikipatikana na serikali ikalipia huduma hii, kampuni itatoa ajira nyingi sana........


Sioni sababu ya kwann vijana wakose ajira

Hivi vichache vikifanyika nakwambia tatizo la ajira mtalisikia huko kenya na mataifa mengine sisi tutasahau......
 
Back
Top Bottom