- Thread starter
- #41
...nyie vijana tikiseni hayo mapango yenye muundo wa kichwa kugundua fursa.....fursa zipo kibao au mnaogopa watu???... mnaogopana wenyewe kwa wenyewe eti nikiuza nyanya atanionaje!! Really???....kazi kushinda Instagram kuangalia makalio makubwa na maisha fake ya kifahar kwa tamaa zako unaenda kufanywa vibaya....hii kwa vijana wa kike.....hivyo vishimo sio vikombe vya chai kila mtu atie kijiko chake....jinga kabisa...

