Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Ndugu zangu wanajamvi tumesikia kuna vijana wanne wako magereza Igunga toka uchaguzi uishe kwa nini wasitolewe????????Kijana mmja kakutwa amekufa tena nyuma ya gereza eti kazikwa, maisha ya mtu linakuwa jambo dogo la kawaida!!!!!!! Watanzania tunahitaji kushikamana kupinga huu ukatili wa kuua watu ovyo!!!!!!! Vyombo vya dola na wapenda amani popote walipo tunahitaji kujua sababu za kifo cha huyo kijana!!!!!!!Tena tunahitaji tujue kwa nini vijana waliowekwa ndani magereza kwa nini kama hakuna kesi wasiachiwe huru?????????? Naomba ushauri na maoni yenu!!!!!!
kama wana makosa basi ni haki ya vyombo vya usalama kuwashikilia
Mkuu Ngasiba kesi ipo tena kubwa tuu, maana kitendo cha kuweka mtu ndani na kumsababishia mateso na usumbufu kuna gharama zake. Lakini cha msingi hawa vijana wetu watakaandani hadi lini????? Hali zao zikoje, sisi kama wanadamu wenye huruma lazima tufikili tuache kufa nchi yetu kama iko vitani!!!!!!! Kuweka watu ndani zaidi ya masaa 48 ni ukiukwaji wa haki za msingi za kibinadamu!!!!!!! Hawa watu watolewe ndani au wapelekwe mahakamani period!!!!!!!!Haki za binaadamu ziingilie na kuona haki inatendeka, Kitengo cha sheria CDM nunueni kesi hii mpande chati Igunga
Sababu ya kuendelea kuwaweka ndani na hali uchaguzi uliisha pita ni kitendo cha uonezi, mbona waliokuwa na mapanga tuliwaona na mabendera ya CCM wakitupa mawe na kutisha watu walichukuliwa hatua gani??????? Huyo Mbunge wa Sumbawanga aliye fyatua risasi alichuliwa hatua gani?????? Basi kama vyombo vya dola vimeshindwa kazi na kuwa upendeleo, wanyonge nao watafute namna yao ya kujikomboa????????Naomba Kesi yao iharakishwe ili haki itendeke, kama wanahatia wafungwe kama watu wengina na kama hawana hatia basi waachiwe huru.
Mawakili wa CDM sio wanaowashikilia magereza hebu tumia akili za kibinadamu tunazungumzia watu wako magereza!!!!!!!Hivi wewe umewahi kuwekwa ndani magereza, labda unaona haikuhusu ndio maana unazungumza kejeli!!!!!!!!Wasingekuwa gerezani kama wangekuwa hawajashtakiwa. Mawakili mahiri wa chama hicho wako Dar wanakula kuku kama kawaida na hatujasikia wakipaza sauti kwa sababu uchaguzi umekwisha.
Wasingekuwa gerezani kama wangekuwa hawajashtakiwa. Mawakili mahiri wa chama hicho wako Dar wanakula kuku kama kawaida na hatujasikia wakipaza sauti kwa sababu uchaguzi umekwisha.
Hizo ndio zao kuuwa watu na kutupa porini, nchi imwegeuzwa kama Bosnia watu wanauwawa tuu kama wanyama na kutupwa porini sisi tuko kimya!!!!!!!!!! Tupaze sauti zetu tupige kelele vinginevyo leo ni huyo Bwn Ndogo next time its u your son relative or some one else u know!!!!!!!!!!!Si ajabu wameshauliwa na kutupwa porini , CCM na vyombo vyake vya ulinzi na usalama ni wauaji na watesaji wakubwa. Ilaaniwe CCM, ilaaniwe TISS, ilaaniwe POLISI,ilaaniwe NEC. Si mnaona Polisi waliomuua Gen. Kombe kwa makusudi na kuhukumiwa kifo na Mahakama JK kawaachia huru?
Na hilo pia ni neno, nani kaja kwanza kuku na yai!!!!!!!!!!kwa mujibu wa dini yetu ni heri kumwua mwenzetu kiliko kumvua mwenzetu hijabu.
Kama unazo habari sahihi si utueleze bila kuzunguka zunguka?????????Hivi hizi habari umezipata wapi? Limumba au Magogoni?
mimi naona 2015 kifyekane kimtaa mtaa tuone akina nani watashinda zaidi.
mimi naona 2015 kifyekane kimtaa mtaa tuone akina nani watashinda zaidi.