Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Ndugu zangu wanajamvi tumesikia kuna vijana wanne wako magereza Igunga toka uchaguzi uishe kwa nini wasitolewe????????Kijana mmja kakutwa amekufa tena nyuma ya gereza eti kazikwa, maisha ya mtu linakuwa jambo dogo la kawaida!!!!!!! Watanzania tunahitaji kushikamana kupinga huu ukatili wa kuua watu ovyo!!!!!!! Vyombo vya dola na wapenda amani popote walipo tunahitaji kujua sababu za kifo cha huyo kijana!!!!!!!Tena tunahitaji tujue kwa nini vijana waliowekwa ndani magereza kwa nini kama hakuna kesi wasiachiwe huru?????????? Naomba ushauri na maoni yenu!!!!!!