HUO UVAAJI WENYEWE WANAUITA KATA K. Makonda asilimia kubwa lazima wavae hii, ila kwa makonda utakuta amevaa suruali mbili hivi.
NI KWELI UVAAJI HUO HAUFAI USIKUTE ULIANZISHWA NA MASHOGA.
Afrodenz umeamua kabisa na kutangaza biashara ya hizo boxers au imekuwaje
sijui nani aliwaambia tunavutiwa na hizo ma briefs na maboxers zao! Sipendi kuona nguo zao za nadni zikiwa nje!
Wengine wanatuachia na mifereji ya suez na mastrech marks kabisa tuyaone vizuri.
Guys....it aint appealing at all!
hapo pa red ndo basi tena...
Kama hawana pesa ya kununua boxer?!Embu waache na wao waonyeshe walichopewa!!!Safi zinapendeze..
ndo ninacho sema wavae boxer, sagz au brief.....
ziwe safi...
wale wanao vaa chupi tu
wanavuta suruali chini dahh