Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

Duh; kweli dunia imebadilika! Zamani wadada and females in general ndio waliokuwa wanaumizwa vibaya kwa siri zao kimahusiano kujulikana sembuse kuwekwa hadharani!

Today, it's the other way around; kinadada ndio wana confidence kuanika ujinga waliofanyiwa faraghani na wapenzi wao huku vijana wa kiume wakificha sura zao! Where are we heading to? Wahenga akina johnthebaptist hii vipi?
Kweli mabadiliko ni inevitable, hata mimi nashangaa. Miaka na miaka wanawake walikuwa victims.
 
Wenzako wakituma hizo video kwa mange hawakosi laki 5.

Unavyoona mange anapost sijui fulani achafua hali ya hewa ni kukujulisha kuwa anavideo yako umtafute muyamalize kiutu uzima pembeni umpe hata milioni kama heshima yako ni muhimu.

Ukishindwa anaipost ili kuongeza viewers wa videos zake kwenye app yake.
 
Nasikia mwamba ni mafia Mange kaogopa kuvujisha...au ndo siku ya idd atafanya? Ngoja tuone..yani eti watu wamefunga wanasubiri siku ya idd wafungulie na waliochafua hali ya hewa kwa Mange..hii dunia imebinuka walai..
Mafia wa nyoko. Atamfanya nini kwa mfano? Unadhani kuwa mafia ni kama kumiliki pea mbili za viatu kuwa kila mtu ataweza?
 
Ukiona mange hajavujisha ujue kalipwa hela nyingi sana na huyo mwenye skendo.

Mange mwenyewe mafia ndio maana alikuwa anawatukana kina Magufuli bila uoga. Imagine RAIS wa nchi hakumuogopa.

Mange kamtukana Mufti mkuu wa nchi. BAKWATA mashehe wote na dua zao kimyaaa.. hata kusoma Al badiri walishindwa.

Mange asiwaogope IGP wa polisi na mkuu wa majeshi. Amuogope waziri mstaafu mafia wa mtaani ambaye watu wanamtombeazz mke wake na hawafanyi chochote

Mange sio mwepesi.
Dah ila yule mke wake me namtamani kichizi, ile pisi naielewa sana. Ningeipata ya vile mimi roho yangu ingekuwa nyeupe peeeeeh.
 
Kumbe na mkewe nae anafanya hivyo? Basi ngoma droo...
Mwanamke wa mtu mwenye pesa ni mlaini na rahisi kumpata kushinda mke wa dereva wa bajaji au mbeba mizigo kariakoo.

Wanakuwa na maumivu na husuda sababu wanaume zao wanakuwa na matukio ya kupiga nje sana. So na yeye anabeba kisasi ila ni vile hatuelewi sababu ya zile fake smiles, fake photos.
 
Haya mambo kwani yameanza leo ,ni improvement tu palikuwa na blog hapa bongo watu wanachukua sana hizo mambo tena wasanii wakubwa.

Hotels na gesti kibao zilishafanya hiyo michezo ya kutegesha camera ila walikuja kukataa ,madogo wanashajinyonga sana ila kizazi cha sasa ni nyoka.

Mtu anafurahi kuoa video ya utupu ,hata umaskini wake anasahau ni ujinga wa kiwango cha lami.
 
Nasikia mwamba ni mafia Mange kaogopa kuvujisha...au ndo siku ya idd atafanya? Ngoja tuone..yani eti watu wamefunga wanasubiri siku ya idd wafungulie na waliochafua hali ya hewa kwa Mange..hii dunia imebinuka walai..
Hahaaaaaa, hata mi kusema kweli jama.Mange ananidharirisha lazima alipe. Nakachoma moto kale kaofisi chake Dar wakiwa na wafanyakazi wake ndani au naenda kumchomea moto mama yake/ndugu zake ndani. Lazima naye siku 1 apate uchungu maana sina uwezo wa kwenda Marekani.
 
Kwakweli mm sijali.

Sema ubaya tu hawa washenzi wanapiga picha kibamia ukitoka kuoga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama ndg yetu marehemu.

si uliona tembo alivokua proud??
Kwa kuwa wewe mtata ndo mana hujali... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila ikitokea alafu ukaja kuiona uta react vipi...
πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Back
Top Bottom