Fuatilieni sera ya kila chama- mfanyie critical analysis na angalieni kama zinatekelezeka! Halafu mfanye maamuzi
Unaweza kuwa na sera nzuri angalia pia mtu aliyepitishwa na chama kama anaweza kusimamia sera hizo vizuri
Usijekujida umejenga shule, madarasa, vituo vya afya huku hujiari waalimu wala madaktari wa kutosha wala huweki bajeti ya kutosha kununua dawa na vitu vingine- Bila shaka hauna tofauti na mtu aliyejenga maghala ya mazao yake
Mkuu act wameahidi ajira Millioni 102020 VIJANA TUSIOKUWA NA AJIRA KURA ZETU ZOOOOOOOTE KWA MH.SANA TINDU LISSU WA CDM....HAWA WENGINE WANAZINGUA TU....SWAL KUNUNUA NDEGE HATA HAYATI BABA WA TAIFA ALINUNUA NDEGE AWAMU YA KWANZA ...SO AGENDA ZA KUNUNUA NDEGE AMBAZO HAZILIINGIZII TAIFA KIPATO NI NONSENSE AND ABSOLUTE KW AKAMPENI ZA MWAKA HUU!
2020 VIJANA TUSIOKUWA NA AJIRA KURA ZETU ZOOOOOOOTE KWA MH.SANA TINDU LISSU WA CDM....HAWA WENGINE WANAZINGUA TU....SWAL KUNUNUA NDEGE HATA HAYATI BABA WA TAIFA ALINUNUA NDEGE AWAMU YA KWANZA ...SO AGENDA ZA KUNUNUA NDEGE AMBAZO HAZILIINGIZII TAIFA KIPATO NI NONSENSE AND ABSOLUTE KW AKAMPENI ZA MWAKA HUU!
Nshauri mumpe Hashimu Spunda Rungwe ili mle kuku na muendelee ku bet. Ndio sera zake huyu mwambaUzi wangu huu ni kwa wale vijana ambao tulipata nafasi ya kusoma hadi level kubwa kidogo. Hapa nazungumzia watu wenye certificate, diploma, bachelor, masters n.k. Kwa mtazamo wako na hali halisi ya maisha hapo ulipo unadhani ni kiongozi gani anaweza kukukufaa na kubadilisha maisha yako?
Mimi ni kijana mpambanaji tena nirudie kusema kuwa mimi ni "Mpambanaji". Maana ya upambanaji ni hali ya kujitoa kufanya kazi yoyote ile regardless ni ya taaluma yako au nje ya taaluma yako. Pamoja na kusoma kidogo hadi nikapata degree ni kwa sababu ya juhudi za wazazi wangu na kidogo juhudi za serikali.
Kwa sasa nipo mtaani bila ajira, nafanya kazi za uvuvi na kusaidia mafundi ujenzi. Serikali haikusema kuwa ukisomeshwa lazima uajiriwe. Watumishi wa serikali wanasema tujiajiri. Mama yangu kama mlezi wangu mkuu aliwahi kuuza ng'ombe wawili kwa thamani ya laki 3 ili nisome. Kibaya zaidi "Mama yangu hajawahi kula matunda yangu tofauti na pesa kidogo ya boom niliyokuwa nikimtumia sometimes".
Usuniulize kuhusu baba maana tunaweza kukosana. Pamoja na juhudi zote nifanyazo katika maisha kitu nilichofanikiwa kumiliki ni uwanja/kiwanja cha kujenga ambacho nacho nilikipata kwa mbinde hadi leo sina hakimiliki yake japo ni kiwanja changu.
CV YANGU KWA UFUPI:
Bachelor of Education in Arts
Best Radio Presenter
Fisher
Comedian
Song writer
Director
Msanifu maandishi
Fighter
Kura yetu tunampa nani?
Hapa bila kukupesa macho Yani Wala kusikiliza Sela, Chama tawala hakitufai kuongoza taifa Mana ndo kipo madarakani na hakijatimiza Sela hata moja pamoja na kufukuza watu wenye vyeti feki lakini hakuna ajira zilizotoka nazani hii ilikuwa ni technic ya kuserve pesa, wenye vyeti feki mliofukuzwa kazi na sisi tuliokosa ajira .Tuungane kwa pamoja kuitoa hii serikali madarakani hapo October 28 kwa kujachagua kiongozi sahihi. Tuendelee kuwashawishi na ndugu zetu wali wenye vichwa vigumu.Fuatilieni sera ya kila chama- mfanyie critical analysis na angalieni kama zinatekelezeka! Halafu mfanye maamuzi
Unaweza kuwa na sera nzuri angalia pia mtu aliyepitishwa na chama kama anaweza kusimamia sera hizo vizuri
Usijekujida umejenga shule, madarasa, vituo vya afya huku hujiari waalimu wala madaktari wa kutosha wala huweki bajeti ya kutosha kununua dawa na vitu vingine- Bila shaka hauna tofauti na mtu aliyejenga maghala ya mazao yake
Unajua hata KANU (Kenya), UNIP (Zambia) na MCP (Malawi) kabla hawajaondolewa madarakani na wananchi walikuwa na na mawazo mgando kama hayo? Ni suala la muda tu kaka, hakuna kinachodumu milele. 🤣 🤣 🤣CCM haiwezi kutoka madarakani kwa kupiga kura ,, unatakiwa kujuwa kuwa Nec ni ya ccm, police wa ccm na watangaza matokeo nao ni wa ccm sasa sijui utashindaje sasas
Hivi mlishawahi fikilia kwa kina yule bwana alivyosema Yani nikuteuwe uwe mkurugenzi, nikupe posho, nikupe salary, nikujazie gari mafuta na marupurupu kede kede harafu umtangaze kuwa mshindi 🤣🤣🤣
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa kupiga kura ,, unatakiwa kujuwa kuwa Nec ni ya ccm, police wa ccm na watangaza matokeo nao ni wa ccm sasa sijui utashindaje sasas
Hivi mlishawahi fikilia kwa kina yule bwana alivyosema Yani nikuteuwe uwe mkurugenzi, nikupe posho, nikupe salary, nikujazie gari mafuta na marupurupu kede kede harafu umtangaze kuwa mshindi 🤣🤣🤣
Uzi wangu huu ni kwa wale vijana ambao tulipata nafasi ya kusoma hadi level kubwa kidogo. Hapa nazungumzia watu wenye certificate, diploma, bachelor, masters n.k. Kwa mtazamo wako na hali halisi ya maisha hapo ulipo unadhani ni kiongozi gani anaweza kukukufaa na kubadilisha maisha yako?