Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

Joined
Oct 9, 2014
Posts
95
Reaction score
13
TUENDELEE KUMJUA VIZURI MH. WILLIUM MGANGA NGELEJA

Huyu ndiye aliyesimamia kuanzishwa kwa sheria mpya ya madini ya mwaka 2010... Na yafuatayo ni mambo mapya ambayo yaliingizwa katika sera na sheria mpya ya madini wakati wa mtaalam huyu ambaye pia ni mjanja kifikra na kimaono chanya katika kuhakikisha jamii yake pendwa ya Tanzania inaendelea kunufaika na nguvu pamoja na weled wake÷
a). Sharti la serikali kumiliki hisa za bure katika migodi (free carried interest) mfano mgodi wa Buckreef Geita serikali inamiliki hisa za bure 45% kupitia STAMICO, Mchuchuma/Liganga (NDC-20%), na Ngaka (NDC-30%).

b). Migodi yote inatakiwa kununua huduma na bidhaa mbalimbali nchini badala ya kuagiza kutoka nje kama ilovyokuwa awali.

c). Kipindi cha leseni za wachimbaji wadogo kimeongezwa kutoka miaka 5-7

d). Viwango vya mrabaha vimeongezeka,kwa mfano,dhahabu kwa sasa ni 4% badala ya 3% (migodi ilianza kulipa mrabaha mpya mei 1,2012).

Mh. Willium Ngeleja mwaka 2008 alisimamia kuifufua STAMICO iliyokuwa imeorodheshwa kufutwa kabisa,kitu ambacho kama una akili timamu lazima uendelee kumsifia Ngeleja.

Mh.Ngeleja mwaka 2007-2011 alisimamia kumpata mwekezaji katika mgodi wa makaa ya mawe na Chuma wa mchuchuma na Liganga kwa kushirikiana na NDC.

Ni huyu huyu mh.William Ngeleja ambaye mwaka 2009-2011 alisimamia kuurudisha mgodi wa kiwira mikononi mwa serikali kupitia STAMICO ambayo aliirudisha yeye kwani tukumbuke iliorodheshwa kufutwa.

Mh.Ngeleja alisimamia kampuni za madini kuanza kulipa kodi ya mapato (30%) mfano, Resolute (Nzega), Geita Gold Mine (Geita), Tulawaka (Biharamulo) na TanzaniteOne (Mererani)

HIVI KWELI WATANZANIA NI NINI TUNAJIFUNZA KUTOKA KWA MTU HUYU TOFAUTI NA UZALENDO ULIOPOTILIZA? Hivi mnafikiri akigombea uraisi mwaka 2015 nchi yetu itakuwa wapi kimaendeleo kutokana na akili zake nyingi zilizojawa na upeo wa fikra tenda na za kimaono katika kuleta mabadiliko?.

SISI TUNASEMA NENDA NGELEJA 2015 NENDA TUTAKUUNGA MKONO NA TUTAPIGANA KWA AJILI YAKO ILI KUIWEKA TANZANIA YETU PAZURI ZAIDI.
 
Muwe mnaona na haya jamani,Ngereja huyu huyu alokua Nishati na Madini
 
Well ..haya ni makosa ya Sultan Mangungu kupata Urais, sasa kila mtu anadhani anastahili kuiongoza taasisi ya Ikulu ya Jamhuri hii tukufu..poleni sana wadanganyika.
 
HIVI KWELI WATANZANIA NI NINI TUNAJIFUNZA KUTOKA KWA MTU HUYU TOFAUTI NA UZALENDO ULIOPOTILIZA? Hivi mnafikiri akigombea uraisi mwaka 2015 nchi yetu itakuwa wapi kimaendeleo kutokana na akili zake nyingi zilizojawa na upeo wa fikra tenda na za kimaono katika kuleta mabadiliko?.

SISI TUNASEMA NENDA NGELEJA 2015 NENDA TUTAKUUNGA MKONO NA TUTAPIGANA KWA AJILI YAKO ILI KUIWEKA TANZANIA YETU PAZURI ZAIDI.
Watanzania tunajifunza kwamba taasisi ya uraisi imedharaulika kupita kiasi kama choo cha stand! kwani kama watu wa hovyo kama Ngeleja ambaye alifukuzwa uwaziri kwa kukumbatia ufisadi leo hii anapigiwa debe agombee uraisi basi nchi imekwisha kabisa hii.
 
Kwenye hao vijana unaosema mm umenisingizia...simtaki ngereja wala sihitaji awe kiongozi wangu. Labda ungesema ni vijana wa wapi waliokutuma.
 
Mtoa mada nadhani anasumbuliwa na ugonjwa wa ukabila
 
Alishindwa Wizara ya nishati ataweza urais, na si huyu aliyeingia kwenye kibanda cha ATM na kuanza kuongea na simu mlinzi alipomtaka apishe wengine akamchongea afukuzwe kazi?
 
TUENDELEE KUMJUA VIZURI MH. WILLIUM MGANGA NGELEJA

Huyu ndiye aliyesimamia kuanzishwa kwa sheria mpya ya madini ya mwaka 2010... Na yafuatayo ni mambo mapya ambayo yaliingizwa katika sera na sheria mpya ya madini wakati wa mtaalam huyu ambaye pia ni mjanja kifikra na kimaono chanya katika kuhakikisha jamii yake pendwa ya Tanzania inaendelea kunufaika na nguvu pamoja na weled wake÷
a). Sharti la serikali kumiliki hisa za bure katika migodi (free carried interest) mfano mgodi wa Buckreef Geita serikali inamiliki hisa za bure 45% kupitia STAMICO, Mchuchuma/Liganga (NDC-20%), na Ngaka (NDC-30%).

b). Migodi yote inatakiwa kununua huduma na bidhaa mbalimbali nchini badala ya kuagiza kutoka nje kama ilovyokuwa awali.

c). Kipindi cha leseni za wachimbaji wadogo kimeongezwa kutoka miaka 5-7

d). Viwango vya mrabaha vimeongezeka,kwa mfano,dhahabu kwa sasa ni 4% badala ya 3% (migodi ilianza kulipa mrabaha mpya mei 1,2012).

Mh. Willium Ngeleja mwaka 2008 alisimamia kuifufua STAMICO iliyokuwa imeorodheshwa kufutwa kabisa,kitu ambacho kama una akili timamu lazima uendelee kumsifia Ngeleja.

Mh.Ngeleja mwaka 2007-2011 alisimamia kumpata mwekezaji katika mgodi wa makaa ya mawe na Chuma wa mchuchuma na Liganga kwa kushirikiana na NDC.

Ni huyu huyu mh.William Ngeleja ambaye mwaka 2009-2011 alisimamia kuurudisha mgodi wa kiwira mikononi mwa serikali kupitia STAMICO ambayo aliirudisha yeye kwani tukumbuke iliorodheshwa kufutwa.

Mh.Ngeleja alisimamia kampuni za madini kuanza kulipa kodi ya mapato (30%) mfano, Resolute (Nzega), Geita Gold Mine (Geita), Tulawaka (Biharamulo) na TanzaniteOne (Mererani)

HIVI KWELI WATANZANIA NI NINI TUNAJIFUNZA KUTOKA KWA MTU HUYU TOFAUTI NA UZALENDO ULIOPOTILIZA? Hivi mnafikiri akigombea uraisi mwaka 2015 nchi yetu itakuwa wapi kimaendeleo kutokana na akili zake nyingi zilizojawa na upeo wa fikra tenda na za kimaono katika kuleta mabadiliko?.

SISI TUNASEMA NENDA NGELEJA 2015 NENDA TUTAKUUNGA MKONO NA TUTAPIGANA KWA AJILI YAKO ILI KUIWEKA TANZANIA YETU PAZURI ZAIDI.
Hayo ndo mawe mnayoyapigia upatu. Mtaendelea kuongozwa na nawe hadi lini?.
 
Wenzake wanatoa in terms of USD kwa sasa,wewe uko busy na mirabaha.

Mwambie atafute kambi mapema ajiunge.
 
Huyu fisadi aliyevurunda Madini na Nishati kwa kushiriki katika kusaini mikataba chungu nzima ya kifisadi na kutoa rushwa kwa Wabunge ili bajeti ya Wizara ipitishwe. Hafai hata ujumbe wa nyumba kumi kumi.
 
Mzee wa megawatt ambazo hazikuondoa uhaba wa umeme.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimesoma kichwa cha habari na paragraph ya kwanza, bhas. Una maanisha huyu aliyechemsha wizara moja tu ya nishati na madini au kuna mwingine! ataweza ku-mamanage nchi?
 
Babylonian Tower.

Back
Top Bottom