Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

Vijana tunamtaka Ngeleja 2015

Acha kuwa mnafiki kwa kuwasemea watu bila kuwashirikisha,hayo ni mapepo yako yanayotokana na kutafuta nafuu ya maisha.Nani hamjui huyo fisadi aliyepitiliza? ni bora ccm isisimamishe mgombea kuliko kumsimamisha huyo fisadi.
 
Inashangaza sana Mkuu MANI, hawa waliovurunda kwa kiwango cha juu kabisa bado majina yao yanasikika eti wanastahili kupewa ridhaa na Watanzania kuiongoza nchi. Tumechoshwa na nchi yetu kufanywa kichwa cha mwenda wazimu miaka nenda miaka rudi.

Mzee wa megawatt ambazo hazikuondoa uhaba wa umeme.
 
Last edited by a moderator:
Alivyoandika 'vijana tunamtaka' amenikumbusha wale wajumbe wa BMK wakichangia hoja wanasema 'nimetumwa na vijana kupiga kura ya ndio'... Sasa unajiuliza, ni vijana gani waliomtuma?
Na huyu anasema 'vijana tunamtaka' alimshirikisha nani?
 
ndo tatizo la wanadamu..cku ukikosea kidogo tu au ukiharibu tu basi mema yote uliyoyatenda watu hawakumbuki! watu hawajui kwa nn hawamtaki mh. ngeleja...ni kupungukiwa na kufikiria kwa kina! mnamkataaa ngeleja eti kwa tatizo la umeme ambalo utatuzi wake ulikuwa mikononi mwa wengi! Mh. Ngeleja anakubalika pia sana tu
 
Nimesoma kichwa cha habari na paragraph ya kwanza, bhas. Una maanisha huyu aliyechemsha wizara moja tu ya nishati na madini au kuna mwingine! ataweza ku-mamanage nchi?
Mkuu, hii thread kaiandika Ngereja mwenyewe kupima upepo
 
Mimi ni kijana lakini Ngeleja apite kule

Kila nikikumbuka alichomfanyia yule mlinzi wa benki nachefukwa roho
 
Ngereja hapana kabisa,labda sema wewe unamtaka ngereja..urais wa 2015 ni kwa watu wenye uwezo wa utendaji na kuleta tija...binafsi sidhani kama yupo kijana mwingine zaid ya comrade Mwigulu Nchemba,naibu waziri wa fedha....hili ni jembe yaani
 
japo nami kada...ngeleja hana uwezo huo kabisa.....uraisi sio urahisi.....think deeply.
 
Back
Top Bottom