Vijana tuna la kujifunza kutoka kwa Lissu

Naunga mkono hoja. Na hii sio upande wa mambo ya kisiasa tu bali ni katika mishe zozote zile unazopambana nazo. Jamaa ana inspire sana. Acha kuwa mlegevu kijana, sio kama akina Nape
 
Huyu jamaa ni mwamba. Anafaa Sana kufanya kazi na jiwe
Sidhani, hata Jakaya alimvumilia sana huyu jamaa. Huwezi kuwa unatengua maamuzi ya waziri wako kisha unamuacha katika hiyo nafasi. Jakaya alikuwa muungwana sana, na uungwana wake umetuletea haya.

Tazama jiwe yeye akitengua maamuzi yako fahamu na wewe unaliwa kichwa. Rejea nape, ane kilango,mwigulu and tha list goes on.
 
Agitator agitator agitator!!!!!!! You are the only one who is not with wananchi!! Pole sana!!
 
Kuna watu Wana swali boya tu, mahijabuuuu
 
Spana alizopiga Lissu zikampeleka mtu hadi Mzena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…