Mfumo uliopo hautambui wala kuthamini nguvu na mchango wa vijana.Event moja hivi majuzi Chris Mauki na wenzie wanafokea vijana ,mfoko foojji plus ..
Sasa nikajiuliza mfoko huo niaje ni gani , papai halizai chungwa litazaliwa papai tuu . Kajamaa kamoja kapo kwenye mradi wa Bibi tiki kakawa kamepewa chance meza kuu pale basi ndo kupondea as if kenyewe NJ kazee damn it.
Kama kufail wamefeli hao wazee Kwa mifumo Yao mibovu ya malezi .
Mizizi haipo deep upepo lazima utuyumbishe.
Halafu watoto waitwe vikesho 😁😁😁😁Kama vijana wanaitwa vijana, kwanini wazee wasiitwe Vijuzi??
Kwani vijana tulikosea wapi, mbona kama kila kona tunasemwa sana.
Kwani tunakula kwao? Watuache vijana,usione vijana wanalalamika ukadhani vijana wote wako hoi, ukiwauliza hao wanashutumu vijana wamefanya nini nje ya kazi za kuajiliwa ?Kwani vijana tulikosea wapi, mbona kama kila kona tunasemwa sana.View attachment 2783201
🤣🤣🤣Vijana wanamaliza oxygen[emoji28]
Kijana piga kazi Kwa bidii , kua muaminifu na kua na nidham ya pesa , acha anasa hakika utatoboa fasta ,Kijana piga kazi ukipata mwanya iba Ila usikamatwe,
Mfumo uliopo hautambui wala kuthamini nguvu na mchango wa vijanaAmeEvent moja hivi majuzi Chris Mauki na wenzie wanafokea vijana ,mfoko foojji plus ..
Sasa nikajiuliza mfoko huo niaje ni gani , papai halizai chungwa litazaliwa papai tuu . Kajamaa kamoja kapo kwenye mradi wa Bibi tiki kakawa kamepewa chance meza kuu pale basi ndo kupondea as if kenyewe NJ kazee damn it.
Kama kufail wamefeli hao wazee Kwa mifumo Yao mibovu ya malezi .
Mizizi haipo deep upepo lazima utuyumbishe.
Jamaa ametuchoka kabisa.Hapo kwenye vijana wana maliza oxygen ndipo palipo niacha hoi
Acheni Uchawa......wanawashangaa tuKwani vijana tulikosea wapi, mbona kama kila kona tunasemwa sana.View attachment 2783201
Kwa hio yale matrillion ya Serekali yanayoibiwa mpaka kwenye ripoti ya CAG wezi wakubwa ni wazee au vijana wa zamani?Kijana piga kazi Kwa bidii , kua muaminifu na kua na nidham ya pesa , acha anasa hakika utatoboa fasta ,
Ukitaka. Kuishi Maisha ya hofu na ya kusuasua kua mwizi , nasisitiza usiibe Cha mtu mwisho wake sio mzuri